Scientists predict earthquake in Tanzania,next year.

Hakuna teknolojia mpaka sasa inayoweza kuthibitisha kwa hakika kwa 100% kuwa kuna tetemeko litatokea. Ndiyo maana mara kibao hata wao yanawakuta bila kutarajia. Kitu wanachoweza kutabiri vizuri mara nyingi ni after shock
 
How many earthquakes in China they were able to predict accurately!? I believe ZERO earthquakes.
Hawa watu wametengeneza sattelite n'a wamekosa mawasiliano nayo n'a kuanza kuitangazia dunia wajihadhari kwani itaangukia popote !? How thé hell is this !?
 
wee mjinga sana ujue... ushaambiwa next year halafu unaleta porojo zako za april 26.

hiyo tarehe inyeshe mvua liwake jua tutaandamana tu.
Na pia liwake jua au inyeshe mvua ni lazima tuzalishe vilema vya kutosha kabisa siku hiyo. Karibuni sana.
 
Na pia liwake jua au inyeshe mvua ni lazima tuzalishe vilema vya kutosha kabisa siku hiyo. Karibuni sana.
hata ben ali wa tunisia na hosni mubarak wa misri walijiapiza hivyo hivyo na waliua watu wengi sana but mwisho wa siku umma ukashinda na wao wakasalimu amri mwishowe wakaachia madaraka ya urais.
 
Hakuna teknolojia mpaka sasa inayoweza kuthibitisha kwa hakika kwa 100% kuwa kuna tetemeko litatokea. Ndiyo maana mara kibao hata wao yanawakuta bila kutarajia. Kitu wanachoweza kutabiri vizuri mara nyingi ni after shock
Kwani mkuu si imesemwa "predicted" au mwana we ni wa kule ziwani Tanganyika
 
Halafu utawasikia bavicha wanasema hii ni mbinu ya Serikali kuzuia maandamano ya 2604.
Utawasikia Lumumba wanasema Lissu na wenzake wasio wazalendo wanashirikiana kuleta hilo Tetemeko kupinga juhudi za serikali tukufu ya awamu ya 5
 
I like this marketing technique!! CGTN, huu ni Ubunifu wa Hali ya juu!!!
good, nitainstall kesho!!
 
wee mjinga sana ujue... ushaambiwa next year halafu unaleta porojo zako za april 26.

hiyo tarehe inyeshe mvua liwake jua tutaandamana tu.
nakushangaa jinsi unavyosahau ulivyo kumba.fu maana da' mange ameshasema haya maandamano hayana kikomo hivyo hata 2086 yatakuwepo
 
Niliwahi kusoma sehemu kuwa mpaka sasa hakuna technology duniani ya kuweza kutabiri tetemeko
 
kitu ambacho hukijui ni kwamba ukanda wote wa china na kisiwa cha japan huwa unashambuliwa sana na matetemeko ya ardhi.

kwa maana hiyo wachina wana uelewa mkubwa sana wa kuchukua tahadhari za kukabiliana na majamga ya aina hii kuliko watanzania.

so usiwachukulie poa wanapo toa taarifa kuhusu tetemeko la ardhi nchini tz.
Hakuna kifaa au njia yoyote ya kutabiri matetemeko duniani
 
Back
Top Bottom