Scientists predict earthquake in Tanzania,next year.

kadoda11

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
21,453
20,712

IMG_20180413_212221.jpg

chanzo : shirika la habari la china maarufu kama china global television network(CGTN)
 
Mwanasayansi wa kichina si atakua feki...
kitu ambacho hukijui ni kwamba ukanda wote wa china na kisiwa cha japan huwa unashambuliwa sana na matetemeko ya ardhi.

kwa maana hiyo wachina wana uelewa mkubwa sana wa kuchukua tahadhari za kukabiliana na majamga ya aina hii kuliko watanzania.

so usiwachukulie poa wanapo toa taarifa kuhusu tetemeko la ardhi nchini tz.
 
why?

coz they've beeen facing this monster for years now... and I am pretty sure that wapo vizuri kiteknolojia kwa upande wa matetemeko...
Nakuunga Mkono, watu ambao wanafwatilia mambo juu juu huwa wanawabeza wachna...Kiteknolojia wapi juu sana...
 
Likitokea kwenye yale matukio kama yale ya uzinduzi wa ukuta na lile eneo la kupongezwa zile kamati zetu zile za nanii pale maeneo ya nanii itapendeza zaidi.Wanavyopenda kujirundika pamoja basi,mbona itakua balaaa :D:D:D:D:D:D:eek::eek:o_Oo_Oo_O
 
Back
Top Bottom