Ni wapi hapo mkuuHarafu wanatuambia hapa kazi tu kweli ndege ndio itakayo weza madirisha mandhali ya chumba hicho kuvutia watoto kusoma na kufaulu
Wadau wengi tumeendekeza "mihemko"
Tumejiuliza hii picha imepigwa lini?Miaka mitano iliyopita?mwaka jana?Juzi ama jana ama leo???
Imepigwa Kenya,Uganda,Somalia,Sudan ama Tanzania?
Baada ya kujua hayo kutoka kwa mto mada sasa tunaeza weka hoja zetu bila kuendekeza ushabiki
Sent using Jamii Forums mobile app
Fikiria kama ilivyo.
Canon mkuu si kitu kingine kama yangu hapo