School & College Management System service for free

SWALI 03: Je matokeo yana wekwa na mwalimu wa somo mwenyewe au na mtu maalu aliye chaguliwa kwa kazi hiyo ?

JIBU: Ili kuongeza ufanisi mfumo una ruhusu mwalimu wa somo kuweka matokeo yeye mwenyewe. Lakini pia kama kuna mtu maalumu amechaguliwa kufanya kazi hii ni sawa anaweza kuweka matokeo ya masomo yote
 
SWALI 04: Je kama walimu wa masomo wanaweza kuweka matokeo, ina maana wanaingia kwenye mfumo kupitia ACCOUNT ya admin?

JIBU: Hapana kila mmoja anakua na ACCOUNT yake kulingana na majukumu yake, Lakini pia ADMIN ana uwezo wa kumuwezesha au kumzuia mwalimu kuweka matokeo
 
SWALI 05: Taasisi yetu ina shule za secondary lakini zipo sehemu tofauti lakini zote zina tumia jina moja. Je mfumo huu unaweza ku support shul zote kwa pamoja?

JIBU: Naam zinatumia jina moja kwa mfano Elimusof Secondary School ambazo zipo kwenye mikoa tofauti mfumo unaweza kutumika bila shida. Tuna tengeneza madarasa mfano FORM ONE Iringa, FORM ONE Kigamboni nk mambo yana enda vizuri tu
 
SWALI: Je mfumo na uwezo wa kuonyesha GPA au DIVISION aliyo pata mwanafuni?

JIBU: Naaam mfumo una onyesha vyote GPA na DIVISION aliyo pata mwanafunzi katika mtihani husika
 
SWALI: Mfumo huu umejengwa na EXCEL au? je una weza kuwekwa ONLINE ili wanafunzi na wazazi waone Matokeo yao kwenye INTERNET ?

JIBU: Mfumo umetengenezwa kwa php na SQL, Una kaa ONLINE wazazi na wanafunzi wana angalia DETAILS katika INTERNET.
 
SWALI: Mfumo huu unaonyesha DIVISION, lakini vyuoni hatutumii DIVISION ni GPA ?

JIBU: Tunayo mifumo miwili moja ni kwa ajili ya shule ambao ndio una tafuta DIVISION pamoja na GPA kwa masomo 7 kwa OLEVEL na masomo 3 kwa ADVANCE na mwingine nui kwa ajili ya vyuo ambao una tafuta GPA pekee ya masomo yote aliyo fanya mwanafunzi
 
SWALI: Je mwanafunzi ana weza kuyaona matokeo yake hata baada ya kumaliza shule au chuo bila shida?

JIBU: Naaam matokeo na details zingine anaziona bila shida hata baada ya kumaliza masomo
 
OVERALL STUDENTS RESULTS TO BE PRINTED

268374263_1648336652225117_1047436856791555295_n.jpg
 
ElimuSoft School Management System
ina kutakia
HAPPY NEW YEAR, 2022
 
Check following answers of your queries -

1). Why teacher can’t upload into the download center?

Ans. By default teacher does not have permission to upload content in Download Center but you can enable it from System Settings > Roles Permission.

2) I have noticed that any teacher can mark attendence of student of any class. Is there any restrictions or functionality that only class teacher / subject teacher can mark the attendence?

Ans. By default Teacher Restricted mode is disabled but you can enable it from System Settings > General Setting. After enabling this you will get your above asked feature.

3) Why the Student Admission option is in TEACHER’s module as well?

Ans. By default student admission option enabled for teacher role but you can can disable it from System Settings > Roles Permission.
 
ELIMUSOFT ULIPO TUPO
ALI HASSAN MWINYI TABORA TUMEFIKA

273895404_1689090998149682_4372676246401331675_n.jpg
 
wazee wa coding ? but hii umeipakua mtandaoni ukaifanyia editing ? vip umetumia oop ,pdo au prodecurals? but any waay hongera saana
 
wazee wa coding ? but hii umeipakua mtandaoni ukaifanyia editing ? vip umetumia oop ,pdo au prodecurals? but any waay hongera saana
HAKUNA SABABU YA KUANZA UPYA HATA DELL INA PROCESSOR ZA INTEL, NA VILE VILE HATA TOSHIBA INATUMIA OPEATING ZA MICROSOFT KIKUBWA IFANYE KAZI INAYO TAKIWA HIVYO NDIO MAMB YALIVYO KATIKA FIELD YA COMPUTER, ASANTE SANA
 
Back
Top Bottom