School & College Management System service for free

kbmk

JF-Expert Member
Feb 22, 2013
757
250
SWALI 03: Je matokeo yana wekwa na mwalimu wa somo mwenyewe au na mtu maalu aliye chaguliwa kwa kazi hiyo ?

JIBU: Ili kuongeza ufanisi mfumo una ruhusu mwalimu wa somo kuweka matokeo yeye mwenyewe. Lakini pia kama kuna mtu maalumu amechaguliwa kufanya kazi hii ni sawa anaweza kuweka matokeo ya masomo yote
 

kbmk

JF-Expert Member
Feb 22, 2013
757
250
SWALI 04: Je kama walimu wa masomo wanaweza kuweka matokeo, ina maana wanaingia kwenye mfumo kupitia ACCOUNT ya admin?

JIBU: Hapana kila mmoja anakua na ACCOUNT yake kulingana na majukumu yake, Lakini pia ADMIN ana uwezo wa kumuwezesha au kumzuia mwalimu kuweka matokeo
 

kbmk

JF-Expert Member
Feb 22, 2013
757
250
SWALI 05: Taasisi yetu ina shule za secondary lakini zipo sehemu tofauti lakini zote zina tumia jina moja. Je mfumo huu unaweza ku support shul zote kwa pamoja?

JIBU: Naam zinatumia jina moja kwa mfano Elimusof Secondary School ambazo zipo kwenye mikoa tofauti mfumo unaweza kutumika bila shida. Tuna tengeneza madarasa mfano FORM ONE Iringa, FORM ONE Kigamboni nk mambo yana enda vizuri tu
 

kbmk

JF-Expert Member
Feb 22, 2013
757
250
SWALI: Je mfumo na uwezo wa kuonyesha GPA au DIVISION aliyo pata mwanafuni?

JIBU: Naaam mfumo una onyesha vyote GPA na DIVISION aliyo pata mwanafunzi katika mtihani husika
 

kbmk

JF-Expert Member
Feb 22, 2013
757
250
SWALI: Mfumo huu umejengwa na EXCEL au? je una weza kuwekwa ONLINE ili wanafunzi na wazazi waone Matokeo yao kwenye INTERNET ?

JIBU: Mfumo umetengenezwa kwa php na SQL, Una kaa ONLINE wazazi na wanafunzi wana angalia DETAILS katika INTERNET.
 

kbmk

JF-Expert Member
Feb 22, 2013
757
250
SWALI: Mfumo huu unaonyesha DIVISION, lakini vyuoni hatutumii DIVISION ni GPA ?

JIBU: Tunayo mifumo miwili moja ni kwa ajili ya shule ambao ndio una tafuta DIVISION pamoja na GPA kwa masomo 7 kwa OLEVEL na masomo 3 kwa ADVANCE na mwingine nui kwa ajili ya vyuo ambao una tafuta GPA pekee ya masomo yote aliyo fanya mwanafunzi
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom