Dondoo kuhusu ufadhili wa masomo nje ya Tanzania (Scholarship updates)

Ahsante kwa ushauri mkuu. Kijana anasoma pale UCLAS anafanya BSc in Building Economics. Mwana wakati unaomba kitu sidhani kama una uchaguzi bali kupokea kinachopatikana. Nchi ni ile itayokuwa na offer nzuri zaidi preferably Scandinavian countries, Germany, USA and like.
 
Mwisho kutuma maombi: 15 Aug 2017 (annual)
mahali: New Zealand
Muda wa kuanza kozi:2018
Brief description:
The University of Canterbury offers the UC International First Year Scholarship to top-achieving international students commencing an undergraduate degree programme at the University.


Host Institution(s):
University of Canterbury, New Zealand


Level/Field(s) of study:
Eligible Bachelors Degree Programme offered at the University

WALENGWA:
Wanafunzi kutoka popote duniani isipokuwa New Zealand na austria


Scholarship value/duration:
The scholarship is currently awarded with values of $10,000, $15,000 or $20,000. kwa mwaka mmoja

tafuta: Welcome to the University of Canterbury, New Zealand - Nau mai, haere mai ki te Whare Wananga o Waitaha - Christchurch - New Zealand | University of Canterbury
Mkuu ulimaanisha Austria au Australia?
 
Ahsante kwa ushauri mkuu. Kijana anasoma pale UCLAS anafanya BSc in Building Economics. Mwana wakati unaomba kitu sidhani kama una uchaguzi bali kupokea kinachopatikana. Nchi ni ile itayokuwa na offer nzuri zaidi preferably Scandinavian countries, Germany, USA and like.
Hongera mkuu kwa kuweza kugharamia masomo ya kijana wako mpaka anafanikiwa kumaliza ila mimi naona ni vizuri ungesema yeye anafanya kozi gani na anataka kufanya masters ya kozi gani pia nchi anazopenda kufanya hiyo masters nadhani ingerahisisha washiriki wengine kutoa msaada kulingana na yeye mlengwa anavohitaji.

form1
 
NIMEPEWA TAARIFA KAMA KUNA MWALIMU WA LUGHA YA KINGEREZA ANATAKA KUJIENDELEZA KUNA PROGRAM MPYA HAPO SCHOOL OF EDUCATION UDSM. NI FULL FUNDED FOR SHORT LISTED ILA WANATAKA SANA WADADA NIMESIKIA MNAWEZA APPLY INGIA KTK WEBSITE YAO.
Sikuelewa kabisa. Anataka kujiendeleza kwa kiingereza? HIyo program mpya inahusu kujiendeleza kwa somo gani?
 
Husika na kichwa cha habar hapo juu

Nina mdogo wangu amemaliza form six 2017 amechukua mchepuo wa science kwa combination ya PCB so nlikuwa naulizia nawezaje pata scholarship za nje ya nchi kwa course za udaktar?

Nawasilisha.......
 
Asante sana na pongezi kwa mfungua uzi huu na wote mnaochangia mawazo yenu katika kujengana

ni ukweli kwamba watanzania wengi tunapenda kusoma nje ili kujaribu radha ya elimu ya upande mwingine wa Dunia.Binafsi nmekua nikipitia wakatimgumu sana katika hili ,ila kwakua kuna uzi hapa naomba kama itawezekana nami nipate ushauri kidogo.

mimi nimesoma(bachelor of arts with education) na masomo nliyochukua ni political science na geography .katika geograph kuna course tulisoma inaitwa Geographical information systems (G.I.S) ,naipenda sana na natamani niisomee nje ,ila sasa kuna maswali yananiumiza kichwa
1;vyuo gani vinatoa
2;je nina vigezo vya kuisoma kutokana na degree nlichochukua
3;ninaweza kupata scholarship ya free kweli?
4;kulingana na bachelor yangu je ni masters ipi itanifaa na ina soko

USHAURI TAFADHALI
 
1a71a8031e8b1f1205c812068eee798a.jpg
 
labda nikajaribu huko asee mwaka huu kusomea hyo kitu bongo ni ngumu lazima uwe umefaulu physics angalau D kwa form six na C mbili za Biology na Chem halaf bam usipate f ni hatarii
 
labda nikajaribu huko asee mwaka huu kusomea hyo kitu bongo ni ngumu lazima uwe umefaulu physics angalau D kwa form six na C mbili za Biology na Chem halaf bam usipate f ni hatarii
utaweza kukisoma kichina aisee...
 
Ukirudi Tz unapangiwa Mwananyamala
Wengi waendao China huku wamekataliwa
 
Back
Top Bottom