Dondoo kuhusu ufadhili wa masomo nje ya Tanzania (Scholarship updates)

Wakuu habari ya muda....

Nimefungua uzi huu ili tuweze kupeana dondoo za jinsi ya kutafuta na hatimaye kupata ufadhili wa masomo nje ya Tanzania.

Tuweke matangazo ya nafasi za masomo kokote nje ya Tanzania, tupeane maelekezo na hatimaye wengi wetu tutoke na kwenda kujifunza dunia inaendaje upande mwingine wa Dunia.

Nitakuwa mstari wa mbele kutoa updates na maelekezo kadiri nitakavyoweza....

Karibuni sana!

Wakuu naomba msaada WA jinsi ya kuapply scholarship kwa ajili ya medicine nchi yoyote ambayo maisha yake sio ya juu sana namaliza form 6 2018 mwezi WA tano
 
Halo check this scholarship opportunity

The Haven of Peace Academy is awarding a small number of merit scholarships for Tanzanian students. Scholarship worth up to 100% of the tuition fees for the school’s AS and A level programme.
Scholarship can be taken in Tanzania
Application deadline: March 5, 2018

For more info, eligibility Criteria and how to apply visit below site
www.scholarshiphome.com
 
Wakuu habari ya muda....

Nimefungua uzi huu ili tuweze kupeana dondoo za jinsi ya kutafuta na hatimaye kupata ufadhili wa masomo nje ya Tanzania.

Tuweke matangazo ya nafasi za masomo kokote nje ya Tanzania, tupeane maelekezo na hatimaye wengi wetu tutoke na kwenda kujifunza dunia inaendaje upande mwingine wa Dunia.

Nitakuwa mstari wa mbele kutoa updates na maelekezo kadiri nitakavyoweza....

Karibuni sana!
Mkuu nifanyeje nipate scholarship ya PhD ya Open hapa hapa Bongo??? Nipeni njia wakuu.....
 
Habarini wakuu? Mie nimehitimu mwaka huu Bachelor of Electronic science and communication apo Chuo kikuu cha Dar es salaam nimepata Wastani wa GPA 4.1, vipi wakuu naweza pata scholarship za kusomea masters nchi za ulaya bila kusomea na kua na cheti chao cha Englih Test kutoka British council maana sina uwezo wa kumudu gharama zake
Jaribu kuangali nchi ambazo hazihitaji hicho cheti...ulaya ni kubwa sana na kila nchi inataratibu zake.
 
3dcb189c3e7be6249992f50dc178f2cb.jpg



♡♡ MS/M.PHIL & PH.d Scholarships♡♡

☆☆☆☆☆☆ New Update☆☆☆☆☆☆

● University name :☆ Shaanxi university ☆
March Intake 2018
Master stipend 1000 rmb
phd stipend 2000 RMB
PH.D MAJORS.......
1:Light industry Science and engineering
2:Materials physics and Chemistry
3:Materialogy
4:Resources and Environmental Chemicals
5:Biochemicals Engineering
6:Lght chemical process system
7:Chemical Engineering and technology
8:Light technical economy and management


●Full Scholarship for Masters Program●
MASTER MAJORE......
1:Enviornmental Science and Engineering
2:Business Administration
3:Accounting
4:Material Science
5:Mechanical manufacture and automation
6: Mechanical and Electronic engineering
7:Material physics and chemistry.
8: Civil engineering.

Note:nigerians not accepted other all accepted all around the world.
Being with Passport is much recommend

Please call: 0653077677
WhatsApp : 0753077677
Wechat ID: SMAI92

Powered by @SMAI Scholars
 
how about chinese scholarships? especially pilot
please check me at 0625755889
i need to study pilot course, anyone to support me
 
Habari wanajamvini,mwenzenu natafuta schoraship ya kwenda kusoma nje udaktari, mwenye link naomba ili niweze apply..msaada wenu kwa kwel.
 
Wazee wa kekundu wapo na huku mjihadhari nao inabidi uwe na uhakika na source of information
 
Fursa hiyo kwa wanaotaka kujiendeleza
  • The Julius Nyerere Masters Scholarship will cover tuition fees, living costs of £10,000, and a return flight from Tanzania to the UK.
  • The scholarship is tenable for one academic year. In addition to their studies, the successful applicant will be expected to participate in Swahili language conversation tutorials. This will amount to no more than 20 hours for each scholar per semester
  • The scholarship will be awarded to a Tanzanian citizen who is normally resident in Tanzania
As part of the personal statement section of the scholarship application applicants will be asked to answer the following question: ‘If Julius Nyerere was a student at the University of Edinburgh in 2018 and had a Twitter account, what would he tweet, and who would he follow? Explain your answer in 500-750 words.’ Hii scholarship nimeitoa katika website hii >>
 
tunatoa scholarships(ufadhili wa kimasomo) kwa wale wanaopenda kwenda kusoma nje ya nchi, kama china japan na korea kusini.

scholarships hivi ni kwa ngazi ya Phd, Masters, Bachelors na kozi za kusoma lugha(language programs)

kwa mawasiliano zaidi, fika ofisini kwetu mwananyamala kwa makoma Dar es salaam.
pia unaweza kutupigia simu kupitia number 07111 684900,+86 137 61325614 au tembelea tovuti yetu www.elimusolutions.co.tz.
 
35 Reactions
Reply
Back
Top Bottom