Serendipity
JF-Expert Member
- Jan 24, 2009
- 486
- 43
Kuna hii scholarship inaitwa Irish Aid Training programme, Ni ya siku nyingi sana, Ila nadhani watanzania wengi, labda, hawaifahaamu. Namba ya watanzania wanao kuwa enroled kwenye hii scholarship ni ndogo sana ukilinganisha na nchi nyingine. Linki yake ni Irish Aid Fellowships
Kwa maelezo zaidi nenda ubalozi wa Ireland, opposite Golden Tulip Hotel. Uzuri wao hawazingatii sana kigezo cha umri, kuna watu wana umri 45-52yo na wamepata hiyo scholarship.Hivyo Ndugu zangu watanzania tuchangamlie hizi opportunities!
I can assist any one(free of charge) for more information if you have any doubt!