Una akili sana bro..Awe makini asije akatekwe na Bashite
Utalii Tanzania unakuwa kwa kasi. Tupeni support kwakumwambia (welcome to Tanzania the soul of Africa. Kilimanjaro the roof of Africa) Nendeni kwenye page yake.View attachment 528236
Wanyama akila good time mwenye Yatch anayo miliki msanii AY Dar es salaamWacha zako. Ameletwa huko na Sportpesa ya Kenya.
Bahati yake alioa juzi.
Hahaha tuvumilieni tu majirani Tanzania now ipo next level hahaha IMourinho sneaks in Malindi kwa hotel ya Flavio Briatore na you hear and we dont talk about it. Pep also sneaks here chini ya maji and hutaskia bla bla mob
Hahaha duuuuh sasa Wanyama atakata uraia wake kwa style hii alafu kuna watu wanaifananisha Dar na Nairobi, mambo ya yatch utayapatia wapi kenya wajameni hahahaWanyama akila good time mwenye Yatch anayo miliki msanii AY Dar es salaamView attachment 528710
Honeymoon na soccer wapi na wapi broh that's a private stuff Tanzania siyo ya mchezo mchezo wanaojielewa wanatambua hili is the second for attractions and resourcefulness in the whole world after Brazil get that in medula.Wacha zako. Ameletwa huko na Sportpesa ya Kenya.
Bahati yake alioa juzi.
Unyosha picha hapa no picture no right to speak. Ata sisi Beyonce na Jayz, Tajiri wa Chelsea Abromovich, Bill Gates, Will Smith, Oprah Winfrey, Buffet the american billioner nna wengine wengi walisha kuja TZ napicha zao tunazo lakini atukusema. Kwa sasa nikutangaza kwenda mbele.Mourinho sneaks in Malindi kwa hotel ya Flavio Briatore na you hear and we dont talk about it. Pep also sneaks here chini ya maji and hutaskia bla bla mob
Kwani kula raha Tanzania bei gani?Jambo la kawaida kwa watu wenye fuba zao kula maisha duniani
here!Wanyama akila good time mwenye Yatch anayo miliki msanii AY Dar es salaamView attachment 528710
Who is this guy?
Kama ni mzungu kaenda bongo na raha aitakayo ni kutalii...unadhani itahitajika pesa ndogo?Kwani kula raha Tanzania bei gani?