Scheiderlin wa Everton yupo Tanzania kwaajili ya honey moon.

Watu8

JF-Expert Member
Feb 19, 2010
53,134
2,000
Jambo la kawaida kwa watu wenye fuba zao kula maisha duniani
 

dickchiller

JF-Expert Member
Apr 30, 2012
949
1,000
Beckham , wanyama na Christian ericksen nao wameletwa na sportpesa? Tanzania ni ya pili kwa vivutio vya utalii . Hivyo ni kawaida kwa watalii kuja
 

LightYagami

JF-Expert Member
Dec 6, 2016
2,778
2,000
Mourinho sneaks in Malindi kwa hotel ya Flavio Briatore na you hear and we dont talk about it. Pep also sneaks here chini ya maji and hutaskia bla bla mob
 

REDEEMER.

JF-Expert Member
Feb 22, 2015
8,962
2,000
Mourinho sneaks in Malindi kwa hotel ya Flavio Briatore na you hear and we dont talk about it. Pep also sneaks here chini ya maji and hutaskia bla bla mob
Hahaha tuvumilieni tu majirani Tanzania now ipo next level hahaha I
 

REDEEMER.

JF-Expert Member
Feb 22, 2015
8,962
2,000
Wacha zako. Ameletwa huko na Sportpesa ya Kenya.
Bahati yake alioa juzi.
Honeymoon na soccer wapi na wapi broh that's a private stuff Tanzania siyo ya mchezo mchezo wanaojielewa wanatambua hili is the second for attractions and resourcefulness in the whole world after Brazil get that in medula.

Check hicho kitu wazungu wanakuja kukitafuta Tanzania kwenye hii video ni kitu kimoja kati ya mamia ndani ya Tanzania.
 

longi mapexa

JF-Expert Member
Jul 18, 2015
2,790
2,000
messi alikuja akiwa na kobe Bryant wa NBA wakapanda mlima k'njaro hadi juu then akapita kushoto i think ni mwaka juzi
 

mulisaaa

JF-Expert Member
Jun 16, 2017
6,741
2,000
Mourinho sneaks in Malindi kwa hotel ya Flavio Briatore na you hear and we dont talk about it. Pep also sneaks here chini ya maji and hutaskia bla bla mob
Unyosha picha hapa no picture no right to speak. Ata sisi Beyonce na Jayz, Tajiri wa Chelsea Abromovich, Bill Gates, Will Smith, Oprah Winfrey, Buffet the american billioner nna wengine wengi walisha kuja TZ napicha zao tunazo lakini atukusema. Kwa sasa nikutangaza kwenda mbele.
 

Watu8

JF-Expert Member
Feb 19, 2010
53,134
2,000
Kwani kula raha Tanzania bei gani?
Kama ni mzungu kaenda bongo na raha aitakayo ni kutalii...unadhani itahitajika pesa ndogo?

Jumuisha gharama za usafiri, ada za viingilio, malazi, chakula n.k
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom