Helo Diaz! Hope Mungu amewaamsha salama, Naendelea kupokea oda za Scarfs na darasa ni jumamosi asubuhi mpk mchana... Darasa litatakuwa ni mikoba ya shanga kwa sh 10000/= tu.
Kwa wale wanaohitaji darasa online naomba niwe mkweli kwamba ni ngumu kufundisha mikoba ya shanga online labda Scarfs so kama kuna aliyeko tayar kufundishwa scarfs online naomba nitafute wasap kwa 0755661541, Gharama zitakuwa 5000. Karibuni sana niko Arusha.