Chacho Haulage
JF-Expert Member
- Aug 25, 2017
- 234
- 205
Shukurani sana brother! Nimekuelewa vizuri sanaMatajiri wengi bongo wanaunua magari bila kuzingatia specifications, na ndo maana biashara ya Gari bongo ni Moja ya biashara kichaa Sana, kufilisika fasta!
R500 ni DC 16 litres engine, v8, 2300Nm torque @1300rpm, ni Moja ya engine za low Rev philosophy,, maana yake itafanya kazi kubwa katika low revolution, faida zake ni ulaji wa mafuta kidogo , litadumu Sana, na litakwenda popote bila kuchoka, a well kept V8 huwa inakwenda km 2000000 bila Shida
R500 napenda sababu ni Gari ya zamani ilianza kuingia 2005, sokoni hazina bei kali, ila performance yake ni super
Bado nawashangaa wanaosifia Benz over Swedish trucks, Latest Mercedes ya mwaka 2019 Mercedes Ina hp625 na torque ya 3000Nm, R620 Scania ya mwaka 2006 Ina hp 620 na torque ya 3000Nm Kiufupi Mercedes yupo nyuma miaka 13 in terms of Power, labda features nyingine