KingPower
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 1,098
- 1,745
Dhumuni la hii mada ni baadhi ya upotoshaji au chumvi zinazowekwa na wanazi wa haya mabus kila mtu akivutia upande wake!
Ni ukweli usiopingika kwa ishu ya durability scania yupo vizur zaidi
Ila kuna baadhi ya vitu nahisi ni upotoshaji wa watu mfano Climber yenye top speed 140 km/hrs na scania yenye top speed 120km/hrs obviously Climber atakua mbele , number doesn't lies
Ingawa katika kesi ya kuchanganya kwa engine by means of rpm scania atawahi ku attain maximum speed compaired na Dongfeng Cummins
360 hP Cummins vs 310hP scania apa pia ni pa kupaangalia ingawa configuration of power and weight of body ina matter lakini kwa still scania anaonekana kuwa Bora zaidi ila bado numbers aziongopi!
Pia uwezo wa dereva unachangia kwa gari koonekana Bora ukitaka kudhibitisha Angalia Newforce golden deer za tunduma zinavo zipa shida scania ( majinja Kilimanjaro Express ect)
Au ilivo kwa alseid ya mbeya Na Saul ya mbeya !
Nawasilisha
Lete fact zingine ambazo unahisi ni za kweli ila watu wanapotosha kwa mapenzi Yao binafsi