Scania 124,132,na nyinginezo

Smart Technician

JF-Expert Member
Feb 22, 2015
653
824
Habari wana JF, samahani kwa usumbufu.


Jamani naomba kujua hivi hizi namba zinakuwa zimeandikwa mbele ya scania humaanisha nini mana nasikia hata bei yake pia hio namba inahusika mfano nyingi nimeziona zimeandikwa kushoto 124 alafu kulia 330.

Natanguliza shukrani zangu
 
namba mbil za kwanza mfano 124 , 12 ni ujazo wa injin in litres sawa na cc 12000 na 4 ni series ya nne

mf mwingne
94 220
9l= cc 9000 na 220 ni hp
 
Back
Top Bottom