SBT this is too much sasa: Kila siku mnapiga simu kuuliza lini nataka kununua gari?

Waambie umebadili mawazo sasa unataka kununua private jet...
 
Ukinunua gari kwao ndio watakusumbua utadhani ulinunua nyanya kwao sasa umepikia zimeisha. Wanadhani gari unanunua kila wiki wanakera sana tena kuna wakati unatamani kuwatukana ila unawastahi sababu ndio mambo ya biashara tu. mtu unakuta upo in the middle of a very crucial meeting halafu inakuja simu unasema wacha uipokee unashangaa wanaanza kukuuliza ni lini utanunua tena gari ili wakupigie kukukumbusha manina utadhani wanakupa bure
 
hao jamaa ni janga aisee, sijawah kusumbuliwa kama walivyonisumbua hao jamaa, kwa kipindi cha miaka mitatu(2014 - 2017) walikuwa wanapiga simu karibu kila siku nikawaambia tafadhali msinipigie simu, lakini hawajakoma ila mwaka huu naona kama speed yao imepungua! pumbaaf kabisa
 
Back
Top Bottom