Sayona ya Tunda ni Organic? Je, ni embe kweli?

toplemon

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
4,581
4,626
Hivi wakuu hizi sayona juisi ni organic kweli, jee ni kweli kwamba ni embe? Maana wengine wanasema ni chemical tu zile hakuna cha embe wala nini huku wengine wakisema ni embe kabisa na ni juisi organic kabisa na virutubisho kabisa.

Je, usahihi ni upi?

FB_IMG_16098254851742739.jpeg
 

Attachments

  • FB_IMG_16098254732967677.jpeg
    FB_IMG_16098254732967677.jpeg
    49.3 KB · Views: 1
Hakuna embe pale...they just add food flavours & edible food colours.
 
Mkuu kama unataka embe kunywa Azam angalau wako poa hao wengine wanabumba kishenzi
 
Hata kama ni embe nyingi zinakuwa zimeoza kwahiyo ukinywa hizo juice za kiwandani jua umekula funza za kutosha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom