njiwaji
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 279
- 202
Kuna mandhari nzuri ya mpangilo wa sayari za Zuhura na Zohali zitaonekana angani leo upande wa magharibi kuanzia saa moja jioni.
Hali hii inaendelea kuonekana leo, kesho hadi kesho kutwa Jumamosi kila siku saa moja jioni hadi saa mbili na nusu.
Nimeambatisha picha mandhari itakavyoonekana jioni.
Sayari Zuhura Zohali Mstari Mmoja Angani - Astronomy in Tanzania