SAYANSIKIMU nakumbuka amelilia sana jukwaa lao...
Kwahio kule jukwaan ulikua mkubwa wewe2 ndomana ukajiudhuru
hapo tu ndo ninapompendea huyu mwenye somo la sayansi.
kule huwa napita tu stii neno nilikuona sana.Asante sana unajua inapendeza sana kupendwa humu jamvini.HIVI unajua kwamba tarehe 4/4/2014 nilishambuliwa sana,nikatemewa mate,nika aibishwa ,nika dhalilishwa kwenye jukwaa moja hivi ambalo naogopa kulitaja .na siku hiyo niliugua msongo wa mawazo siku nzima.SIKUONGEA UJINGA .Mimi Nacho Kumbuka Nilitoa Ushauri Mzuri Tu .LAKINI NILIPIGWA KAMA MWIZI VILE nilipigwa ilibaki kidogo nichanganyikiwe.Lakini nashukuru watu wa huku wanaupendo mwingi wamenipokea kwa amani na ninaishi nae vizuri tu .SIKU HIYO INANIKUMBUSHA MBALI SANA ,.Hivi wewe unajua jambo hili au haujui
Acha uwongo wewe .Nimelililia lini
ah dogo kwani ugomvi? hukulia wewe....?
limetekwa na panya road.
Nalog off
kule huwa napita tu stii neno nilikuona sana.
Kwa nini sasa haukunitetea ulipo ona ninashambuliwa bila hatia .Kumbuka imeandikwa MPENDE JIRANI YAKO KAMA NAFSI YAKO .je kwa nini uliacha mpaka nashambuliwa bila kunitetea.je nilikuwa na makosa.
uliekopa hela yangu humu ndani kwajili ya kununua kifurushi na ulidai unarudisha leo naona kimya hebu leta mahela yangu.
Namba yako ya simu nimeisahau Naomba Unitumie Kwa Njia Ya PM namba yako ya simu ili ni weze kukurudishia hela yako.
hi hapa
+2247 pm mbali sana.