Sayansi za ramli katika ulimwengu mpya

Dokta Uchwara

JF-Expert Member
Apr 29, 2022
1,371
3,146
Toka corona ianze, tumeshuhudia vibweka vingi vya makanjanja wanaojiita wanasayansi.

Ni mwendo wa kudungwa michanjo na hautakiwi kuuliza — Ukiuliza unaambiwa nyamaza, ati haujui sayansi!

Unabugia tu machanjo kimya kimya, hupaswi kuhoji wala kutilia shaka. Wanakupatia na kijikaratasi cha kusaini kabisa ili litakalokupata ubaki nalo mwenyewe.

Wenyewe wana kamsemo kao kanasema "tunafuata sayansi".

Hata wakichanganya vinyesi kwenye chanjo, wanakwambia hii ni "sayansi" usiulize ulize.

Kwa sasa sayansi zimegeuka kuwa kama upigaji wa ramli za waganga wa kienyeji.

Wala huwezi kuambiwa chanjo ina nini ndani.

Dungwa kalale. Usipodungwa ati unanyimwa mshahara.
 
ZILE CHANJO NIMEAMINI KWELI ULIKUWA NI MPANGO MKAKATI WA KIKUNDI FULANI CHA WATU, KWA MASLAHI YAO BINAFSI...

Corona yenyewe iko wapi Bongo? Biashara ya mask na sanitizer zimedorora.. Chanjo ndio usiseme zimelala yooh na mijihela yao wameshajichukulia
 
Back
Top Bottom