ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 19,544
- 44,690
Knowledge ya Science yenyewe Ina theories kibao ambazo hazina ukweli naweza kusema science Ina facts 20% zinazobaki Ni theories tu.
Dini yenyewe zimeongezewa chumvi Sana nikisema niweke mifano ya makosa yaliyomo nitaleta tafarani hapa ndani sio maada yake kwa leo.
Sasa Kama dini na science yenyewe Haina ukweli iweje tuamini wanasiasa kile wanachosema.Kifupi Wana siasa wengi tu wapotoshaji so mkiendelea kuwaamini mnaendelea kukubali kuliwa Kama wajinga
Tukija kwa Magufuli at least kidogo anajitahidi kutengeneza historia yake kwa upekee sana me nilichokiona kwa macho na kukishuhudia Ni jinsi anavyojitahidi kutengeneza uzalendo japo ni vigumu Sana kwa kizazi hiki wengi hawaipendi nchi Yao ,kuongeza uwazi(transparency) kwa serikali,uwajibikaji,kuhamasisha na kukuza matumizi ya teknolojia,Uhuru kwa Wana nchi na kukemea uonevu.
Haya ndiyo niliyoyaona kwenye hii serikali mengine sijui nahisi mnadanganyana tu au mnapiga stori tu za kawaida.sisi tunapenda mdomo utoe kauli za ukweli mdomo ukisema sema ovyo mambo ya uongo Sisi tunaona Ni uchafu tu. Sisi tutazidi kusema tunayoyaona kuliko tunayoyasikia.
Tunashuhudia vijana wakizidi kuchakarika na kufanya kazi na biashara.Mambo haya yanawezekena tukiona kijana analalamika Hana ajira wakati ana nguvu za kuuza bidhaa kwa watu face to face Tena akilipia 20000 tu ataenda sehemu yoyote kufanya biashara tutasema kijana huyu Ni mzembe,mvivu na Ni mjinga.