Sayansi yenyewe haina ukweli 100% iweje niamini wanasiasa?

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,544
44,690
Knowledge ya Science yenyewe Ina theories kibao ambazo hazina ukweli naweza kusema science Ina facts 20% zinazobaki Ni theories tu.

Dini yenyewe zimeongezewa chumvi Sana nikisema niweke mifano ya makosa yaliyomo nitaleta tafarani hapa ndani sio maada yake kwa leo.

Sasa Kama dini na science yenyewe Haina ukweli iweje tuamini wanasiasa kile wanachosema.Kifupi Wana siasa wengi tu wapotoshaji so mkiendelea kuwaamini mnaendelea kukubali kuliwa Kama wajinga
Tukija kwa Magufuli at least kidogo anajitahidi kutengeneza historia yake kwa upekee sana me nilichokiona kwa macho na kukishuhudia Ni jinsi anavyojitahidi kutengeneza uzalendo japo ni vigumu Sana kwa kizazi hiki wengi hawaipendi nchi Yao ,kuongeza uwazi(transparency) kwa serikali,uwajibikaji,kuhamasisha na kukuza matumizi ya teknolojia,Uhuru kwa Wana nchi na kukemea uonevu.

Haya ndiyo niliyoyaona kwenye hii serikali mengine sijui nahisi mnadanganyana tu au mnapiga stori tu za kawaida.sisi tunapenda mdomo utoe kauli za ukweli mdomo ukisema sema ovyo mambo ya uongo Sisi tunaona Ni uchafu tu. Sisi tutazidi kusema tunayoyaona kuliko tunayoyasikia.

Tunashuhudia vijana wakizidi kuchakarika na kufanya kazi na biashara.Mambo haya yanawezekena tukiona kijana analalamika Hana ajira wakati ana nguvu za kuuza bidhaa kwa watu face to face Tena akilipia 20000 tu ataenda sehemu yoyote kufanya biashara tutasema kijana huyu Ni mzembe,mvivu na Ni mjinga.
 
Ukimaliza kiishe vizuri ukitenge
 
Tunashuhudia vijana wakizidi kuchakarika na kufanya kazi na biashara.Mambo h

aya yanawezekena tukiona kijana analalamika Hana ajira wakati ana nguvu za kuuza bidhaa kwa watu face to face Tena akilipia 20000 tu ataenda sehemu yoyote kufanya biashara tutasema kijana huyu Ni mzembe,mvivu na Ni mjinga.

Umeisoma ripoti ya upigaji?
 
Knowledge ya Science yenyewe Ina theories kibao ambazo hazina ukweli naweza kusema science Ina facts 20% zinazobaki Ni theories tu.
Ume'generalise' mno kuficha kuwa hujui sayansi. Hiyo asili mia 20 ni nini na iliyobaki ni nini?
Unatumia mfano ku'dramatize' mambo yasiyoshabihiana kabisa.

Na baada ya kusoma mengine yote uliyoandika hapo, naona wewe ni levi.
 
Knowledge ya Science yenyewe Ina theories kibao ambazo hazina ukweli naweza kusema science Ina facts 20% zinazobaki Ni theories tu.

Dini yenyewe zimeongezewa chumvi Sana nikisema niweke mifano ya makosa yaliyomo nitaleta tafarani hapa ndani sio maada yake kwa leo.

Sasa Kama dini na science yenyewe Haina ukweli iweje tuamini wanasiasa kile wanachosema.Kifupi Wana siasa wengi tu wapotoshaji so mkiendelea kuwaamini mnaendelea kukubali kuliwa Kama wajinga
Tukija kwa Magufuli at least kidogo anajitahidi kutengeneza historia yake kwa upekee sana me nilichokiona kwa macho na kukishuhudia Ni jinsi anavyojitahidi kutengeneza uzalendo japo ni vigumu Sana kwa kizazi hiki wengi hawaipendi nchi Yao ,kuongeza uwazi(transparency) kwa serikali,uwajibikaji,kuhamasisha na kukuza matumizi ya teknolojia,Uhuru kwa Wana nchi na kukemea uonevu.

Haya ndiyo niliyoyaona kwenye hii serikali mengine sijui nahisi mnadanganyana tu au mnapiga stori tu za kawaida.sisi tunapenda mdomo utoe kauli za ukweli mdomo ukisema sema ovyo mambo ya uongo Sisi tunaona Ni uchafu tu. Sisi tutazidi kusema tunayoyaona kuliko tunayoyasikia.

Tunashuhudia vijana wakizidi kuchakarika na kufanya kazi na biashara.Mambo haya yanawezekena tukiona kijana analalamika Hana ajira wakati ana nguvu za kuuza bidhaa kwa watu face to face Tena akilipia 20000 tu ataenda sehemu yoyote kufanya biashara tutasema kijana huyu Ni mzembe,mvivu na Ni mjinga.
Tena kama hizi saccos mfano ya ufipa
 
ktk WaTz 10, 3 ni vichaa i guess ww ni miongoni mwa 3, hivi unajua maana ya uwazi na uwajibikaji??, wanakwambia ukiona unatumiaga nguvu kulazimisha watu wakutii basi jua watu hawakuheshim ila wanaogopa adhabu. 1.5+ tilion zilitumika kwa uwazi? Kamongo ww
 
Tena kama hizi saccos mfano ya ufipa

Huku mitandaoni ambapo ccm haipati backup ya vyombo vya dola huwa ni walaini kama siagi kwenye kikaango. Na huu udhaifu mnao kuanzia kwa mwenyekiti wenu wa taifa mpaka nyie wabeba briefcase za viongozi.
 
Knowledge ya Science yenyewe Ina theories kibao ambazo hazina ukweli naweza kusema science Ina facts 20% zinazobaki Ni theories tu.

Dini yenyewe zimeongezewa chumvi Sana nikisema niweke mifano ya makosa yaliyomo nitaleta tafarani hapa ndani sio maada yake kwa leo.

Sasa Kama dini na science yenyewe Haina ukweli iweje tuamini wanasiasa kile wanachosema.Kifupi Wana siasa wengi tu wapotoshaji so mkiendelea kuwaamini mnaendelea kukubali kuliwa Kama wajinga
Tukija kwa Magufuli at least kidogo anajitahidi kutengeneza historia yake kwa upekee sana me nilichokiona kwa macho na kukishuhudia Ni jinsi anavyojitahidi kutengeneza uzalendo japo ni vigumu Sana kwa kizazi hiki wengi hawaipendi nchi Yao ,kuongeza uwazi(transparency) kwa serikali,uwajibikaji,kuhamasisha na kukuza matumizi ya teknolojia,Uhuru kwa Wana nchi na kukemea uonevu.

Haya ndiyo niliyoyaona kwenye hii serikali mengine sijui nahisi mnadanganyana tu au mnapiga stori tu za kawaida.sisi tunapenda mdomo utoe kauli za ukweli mdomo ukisema sema ovyo mambo ya uongo Sisi tunaona Ni uchafu tu. Sisi tutazidi kusema tunayoyaona kuliko tunayoyasikia.

Tunashuhudia vijana wakizidi kuchakarika na kufanya kazi na biashara.Mambo haya yanawezekena tukiona kijana analalamika Hana ajira wakati ana nguvu za kuuza bidhaa kwa watu face to face Tena akilipia 20000 tu ataenda sehemu yoyote kufanya biashara tutasema kijana huyu Ni mzembe,mvivu na Ni mjinga.
Kuandika historia hata Dr shika ameandika.
Makonda kaandika historia,alivamia clouds media matokeo yake Nape Nnauye kafukuzwa kazi kwa kosa la makonda.
Luge mutahaba Leo hii Luge hayupo,kuna tetesi mitaani.
Historia zipo nyingi.
MAENDELEO BILA HAKI NA USAWA NI KAZI BURE.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Knowledge ya Science yenyewe Ina theories kibao ambazo hazina ukweli naweza kusema science Ina facts 20% zinazobaki Ni theories tu.

Dini yenyewe zimeongezewa chumvi Sana nikisema niweke mifano ya makosa yaliyomo nitaleta tafarani hapa ndani sio maada yake kwa leo.

Sasa Kama dini na science yenyewe Haina ukweli iweje tuamini wanasiasa kile wanachosema.Kifupi Wana siasa wengi tu wapotoshaji so mkiendelea kuwaamini mnaendelea kukubali kuliwa Kama wajinga
Tukija kwa Magufuli at least kidogo anajitahidi kutengeneza historia yake kwa upekee sana me nilichokiona kwa macho na kukishuhudia Ni jinsi anavyojitahidi kutengeneza uzalendo japo ni vigumu Sana kwa kizazi hiki wengi hawaipendi nchi Yao ,kuongeza uwazi(transparency) kwa serikali,uwajibikaji,kuhamasisha na kukuza matumizi ya teknolojia,Uhuru kwa Wana nchi na kukemea uonevu.

Haya ndiyo niliyoyaona kwenye hii serikali mengine sijui nahisi mnadanganyana tu au mnapiga stori tu za kawaida.sisi tunapenda mdomo utoe kauli za ukweli mdomo ukisema sema ovyo mambo ya uongo Sisi tunaona Ni uchafu tu. Sisi tutazidi kusema tunayoyaona kuliko tunayoyasikia.

Tunashuhudia vijana wakizidi kuchakarika na kufanya kazi na biashara.Mambo haya yanawezekena tukiona kijana analalamika Hana ajira wakati ana nguvu za kuuza bidhaa kwa watu face to face Tena akilipia 20000 tu ataenda sehemu yoyote kufanya biashara tutasema kijana huyu Ni mzembe,mvivu na Ni mjinga.
Wewe umesoma nchi gani?
Tatizo lako haukuwa na uwezo kusoma ulaya na Marekani
Hivi ungesoma MIT au massachattutes institute of Technology ungeonge upuuzi wako huu

Umefundishwa science na mwalimu wa kayumba na wewe kayumba mtaelewa nini nyie science?

Unafikiri ugumu wa maisha na wewe kusoma hovyo basi ni kila mtu, idiot wewe
 
Back
Top Bottom