Sayansi ya upendo, jinsi mtu anavyoweza fall in love na wewe

Ushindi victory

JF-Expert Member
Dec 11, 2018
530
1,000
Umeeleza vzr san, shida ni kwamba, unayemtaka hakutaki, na usiyemtaka anakutaka,
simply:-
unayempenda kampenda mwingine,
uy mwingine nae kampenda mwingine
mwingine nae ana mwingine
mwingine nae kapendwa na mwingine
moyo sukuma damu si vingine
yanakuumiza na pengine
hauna budi kumpenda mwingine
Moyo sukuma damu, si mashine

yaani watu hawaridhiki, unaweza kumfanyia mema yooote hayo, akaja kukusaliti kwa jambo dogo, kumfanya mtu akupende si kazi ndog, itakulazimu upoteze muda wako na resources zako ili kumpagawisha na kumfanya awe fallen in lov,.lkn jichunge kuwa to every action, there's equal to opposite reaction, yaan jinsi unavyompagawisha mtoto wa watu, ujuwe hata wew taratbu utampenda na utashindwa kujizuia, ipo siku njama zako za kumteka zita expire na atakukimbia mbele ya macho yako, ndpo utakapojua hujui, yaan uljitia kitanzini kwa mikono yako mwenyewe ...UTAACHWA, maana mapenzi hayana kanuni na yana limitations ya muda...

cha msingi ukiwa ktk mapenz, play your only responsibility bila kujiumiza wala kumuumiza, nd then akizngua, move on, ..USILAZIMISHE
View attachment 1969730
 
kokudo

JF-Expert Member
Oct 26, 2010
1,905
2,000

Hahaha
 
Dead Man

JF-Expert Member
Jul 17, 2021
652

Hatari sana yaani hii umeeleza kitaalamu.
Pia na mimi naongezea

Mtaka hatakwi
Mtakiwa hatakiki
Mtakwa hataki
Mtakiwaji haitajiki
Yaani wote ni takataka
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom