Masalu Jacob
JF-Expert Member
- Jul 26, 2017
- 948
- 1,092
Habari Tanzania !
Napenda kuuliza wataalamu wetu wa sayansi na technology kuwa hakuna uwezekano wa kutengeneza kemikali mfanano wa maji au jamii ya kimiminika yenye uwezo wa kupasua miamba au mawe makubwa. Mfano unainyunyiza juu ya mwamba alafu mwamba unapasuka-pasuka na kutengeneza vipande vidogo vidogo vya mawe mfanano na kokoto.
Karibu.