Sawa, nitapambana na hali yangu, lakini...

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,013
144,371
2020 usipambane kupata kura yangu bali utapambana na hali yako.

"Kwa miaka 5 nimepambana na hali yangu, kwanini leo hii upambane kupata kura yangu?"

Mwanasiasa makini ataepuka kutumia kauli hii inayoonekana kushika kasi hivi sasa.

Wanasiasa wenye viburi hii kauli wataitumia sana wanasahau kauli hii ni kama mtego wa panya.
 
Wewe kura si utampigia rais wa moyo wako mheshimiwa Lowasa.

Huyo mwingine hata asipokuomba kura lazima ashinde, mwenyekiti wa tume ya uchaguzi anamteua yeye,mkurugenzi wa tume anamteua yeye, wakurugenzi wa halmashauri ambao ndiyo wasimamizi wa uchaguzi majimboni kateua yeye tena wote makada halafu unategemea atashindwa!

Kwa Afrika rais aliye madarakani akishindwa uchaguzi kataka mwenyewe .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe kura si utampigia rais wa moyo wako mheshimiwa fisadi Lowasa.
Huyo mwingine hata asipokuomba kura lazima ashinde,mwenyekiti wa tume ya uchaguzi anamteua yeye,mkurugenzi wa tume anamteua yeye,wakurugenzi wa halmashauri ambao ndiyo wasimamizi wa uchaguzi majimboni kateua yeye tena wote makada halafu unategemea atashindwa!
Kwa Afrika rais aliye madarakani akishindwa uchaguzi kataka mwenyewe .

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama na wewe unajiita msomi halafu unajisifia kwa ujinga huu Mungu akusamehe. Ila kuna siku utakosa pa kukimbilia maana kwa ulevi huu, sijui huko uliko kama watu wanapita karibu na wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
akiwa pale ubungo alitamka wazi kwamba hakushauriwa na mtu kugombea nafasi alonayo

hata alipokwenda kuchukua fomu hakusindikizwa na mtu

kwa hiyo mkuu endelea kupambana na hali yako

na yeye atapambana na hali yake km alivyopambana 2015
 
akiwa pale ubungo alitamka wazi kwamba hakushauriwa na mtu kugombea nafasi alonayo

hata alipokwenda kuchukua fomu hakusindikizwa mtu

kwa hiyo mkuu endelea kupambana na hali yako

na yeye atapambana na hali yake km alivyopambana 2015
Asisahau atahitaji na wabunge pia ili mambo yake yaende na ndio maana nasema hii kauli ni kama mtego wa panya.
 
Asisahau atahitaji na wabunge pia ili mambo yake yaende na ndio maana nasema hii kauli ni kama mtego wa panya.
Nashangazwa sana na viburi, kauli za kuudhi kutoka kwa wanasiasa,

na hii kila uchwao inazidi kumea,

tusubiri na tuone km kidole kimoja ninavunja chawa
 
Nashangazwa sana na viburi, kauli za kuudhi kutoka kwa wanasiasa,

na hii kila uchwao inazidi kumea,

tusubiri na tuone km kidole kimoja ninavunja chawa
Ndio maana nasema 2020 na wao watapambana na hali zao.Wacha sisi tuendelee kupambana na hali zetu ila zamu yao inakuja.
 
"Mkurugenzi tunakulipa posho, mshahara, marupurupu, tunakupa gari, dereva, mlinzi na nyumba, halafu bado unatangaza eti mpinzani kashinda"
Moja ya kauli atakazo kwenda nazo kaburini kwa aibu kubwa sana. Mtu unapewa dhamana kubwa kama hiyo na unafikia kuropoka kama umekunywa kangara iliyochacha?
 
Back
Top Bottom