herzegovina
JF-Expert Member
- Oct 28, 2015
- 3,141
- 4,721
Wakuu,
Kama kawaida yetu watanzania, huwa tunafurahia tu mtu akitumbuliwa.
Naomba wajuzi wa mambo mnijuze, huo mtonyo tuliodhulumiwa tutalipwa lini na hiyo kampuni ya madini?
Au ndio basi tena?