Sawa mnakagua wanafunzi hewa,watumishi hewa,vyeti feki,lakini mbona Deni la Taifa halihakikiwi?

Ni jambo jema na la kuungwa mkono kuhakiki watumishi,wanafunzi wa vyuo vikuu pamoja na kuhakiki vyeti vya watumishi wa serikali.

Swali langu:Ni lini Deni la Taifa nalo litahakikiwa?
Usijali litahakikiwa kuwa na imani na Rais wako JPM.
 
Kweli na muheshimiwa hupita humu, kilio cha sinza kukosa wapangaji ameitoa humu.
 
Ni jambo jema na la kuungwa mkono kuhakiki watumishi,wanafunzi wa vyuo vikuu pamoja na kuhakiki vyeti vya watumishi wa serikali.

Swali langu:Ni lini Deni la Taifa nalo litahakikiwa?
Pia na Suala la mikataba kuwa wazi sababu mikataba mingi ya Tz Haiko Wazi.
 
Wahakiki hadi ruzuku ,maana kuna mwenyekiti wa chama huwa anaitumia kwenda nayo Dubai na mh.MB kula raha.
 
Back
Top Bottom