Sawa, Hussein Bashe SIO Mtanzania: Na hawa JE?

yeye alikorofishana na mtoto kipenzi alitarajia nini?
you have a chance bashe,welcome chadema where we dare to speak openly
 
Naomba uzingatie kuwa: Mtu akiwa na cheti cha kuzaliwa cha Tanzania, lakini akawa na uraia wa zaidi ya nchi moja( kwa kurithi, kuzaliwa au kusailiwa( naturalisation), endapo atafika miaka 18 asipokanusha uraia wa nchi nyingine automatically uraia wake wa Tanzania unafutika.

Nipe tafisir fasaha hapo mkuu,
Mfano Bashe kazaliwa TZ na elimu yake hapa hapa kaipata na mambomengine mpaka kaingia ndani ya CCM.
Yeye Anakwamia wapi kutothibitishwa sio mtanzaniaaa?? au wazazi wake ndio wanamfanya asiwe mtanzania? je haya makosa ni ya nani wazazi au serikali husikaa?

Kwa hiyo Bashe na Riz picha haziendii??? hapo jibu muulizee masauni!!! Duh huyu Riz sasa naona kapitiliza kwa kumtumia baba yake kuendelezaa siasa za chuki. kaanza na masauni, kafuata Kifukwe yanga, sasa bashe wamemaliza jamani tujuzenii nani zengwe la Riz/JK linafuaaaataaa.....

Sio hao tu, dogo wa magogoni haivi pia na Masauni, nadhani kilichompata Masauni ndiocho kilichokuwa reflected kwa Bashe.
Hii ni funga mdomo kwa wanaotaka kuchokoa interests za wakubwa!
 
Sheria ya TZ inasema lazima wazazi wake wote wawe watanzania..japo nchi kama USA,U.K zinatambua uraia kwa kuzaliwa.
 
kuna siku tutachagua kiongozi ambaye ni raia sa iraq, pakistani Rwanda hata kenya bila kujua. sijui tutafunguka macho lini? kaazi kwelikweli. siku zote walikuwa wapi hadi anakuja kugombea na kushinda ndo wanakuja na suala la uraia, tz hatuko makini kabisa, hakuna cha usalama wa taifa wala usalama wa nani.

Kwenye red - my answer: We have in this country sheep for humans!
 
Tz yaani hatuko serious katika kila kitu,one day itakuja kutucost.
Chiligati anasema BASHE alizaliwa na kusoma apa TZ ila wazazi wake ni wasomali na kwa sasa washachukua uraia.
Civics yangu inaniambia that is CITIZEN SHIP BY BIRTH JAMANI

Kama wakati anazaliwa wazazi wake hawakua Watanzania, basi hilo hapo juu hali-apply, anapaswa kuomba uraia.
 
Nipe tafisir fasaha hapo mkuu,
Mfano Bashe kazaliwa TZ na elimu yake hapa hapa kaipata na mambomengine mpaka kaingia ndani ya CCM.
Yeye Anakwamia wapi kutothibitishwa sio mtanzaniaaa?? au wazazi wake ndio wanamfanya asiwe mtanzania? je haya makosa ni ya nani wazazi au serikali husikaa?

Suala hapa ni kuwa wakati anazaliwa wazazi wake walikuwa sio raia wa Tanzania, hivyo alivyozaliwa alikuwa na uraia wa nchi mbili uraia wa kwake by virtue of his birth na uraia wa wazazi wake kwa sababu ya kufuata uraia wa wazazi wake. Aliruhusiwa kisheria kuwa na uraia wa nchi mbili ila privilege hii inaisha tu palemtu anapofikia utu uzima miaka 18. Sheria inataka mtu wa aina hii kukana uraia wa nchi moja mara tu afikishapo miaka 18 asipofanya hivyo basi uraia wa Tanzania unaisha automatically na anabaki na uraia wa wazazi wake.

Haijalishi hata kama wazazi wake walikuja kupata uraia wa tanzania baadaye. Alichotakiwa kufanya yeye ni kukana uraia wa nchi moja.
 
Kama wakati anazaliwa wazazi wake hawakua Watanzania, basi hilo hapo juu hali-apply, anapaswa kuomba uraia.

Hakutakiwa kuomba alitakiwa akiattain 18 akane uraia wa nchi nyingine na kula kiapo cha utiifu kwa nchi hii kama hakufanya hivyo basi anahesabika ni raia wa nchi nyingine
 
Hakutakiwa kuomba alitakiwa akiattain 18 akane uraia wa nchi nyingine na kula kiapo cha utiifu kwa nchi hii kama hakufanya hivyo basi anahesabika ni raia wa nchi nyingine

ha!ha!Ha! Labda aliogopa kwenda kuapa..alifanya siri.

Tatizo ni kubwa zaidi ya hilo, watu wengi hawana elimu ya kiraia/uraia. Na serikali inaogopa kuwaelimisha sababu ya ule msemo ukimwamsha aliyelala..........
 
....Mungai....sio Kikuyu hii mutu

Huyu baba yake alikuwa mkikuyu akiwa na mgahawa pale John's corner enzi hizo. Alioa wanawake wa kihehe ndio wakazaliwa hawa jamaa; mpaka umauti unamfika mzee yule alikuwa hajaukana uraia wake wa Kenya. Implicitly, kama ccm ilivyomuamulia Bashe; Jaseph Mungai sio raia wa Tanzania kwavile baba yake never renounced his Kenyan citizenship!! Mbona yeye hamumpeleki immigration?
 
Nataka kujua siri ya hizi nguvu za ajabu za Bw. Ridhiwan Kikwete

- Kumuangusha Masauni kutoka kwenye Uenyekiti wa UVCCM kwa kashfa ya kughushi umri
- Kumuangusha hasimu wake mkubwa Bw. Bashe kwenye ubunge kupitia Kamati kuu kwa zengwe la uraia
- Kumuangusha Kifukwe kutoka kwenye Uongozi wa Yanga
- Kuongoza kundi la vijana kutafuta wadhamini wa Mgombea Urais kupitia CCM ambae ni baba yake.

Huyu dogo naanza kumtizama kwa jicho la Tahadhari...!
 
No, usiwe na wasiwasi; ni kwa sababu baba yake ni Rais wa Tanzania; mwisho wa nguvu yake ni ama mwezi Oktoba mwaka hjuu, mwezi Otober mwak 2015. Labda kabla ya hapo baba yake aamua kumpa madaraka makubwa kama ya Jaji wa mahakama kuu, ambayo hayataweza kutenguliwa na wanaomfuata.
 
Na hilo hasa ndilo hofu yangu na mengine yafananayo na hayo...akizidi kuwa Ngangumi tutashindwa kumdhibiti mbeleni..!
 
Wakuu, Mimi simjui Bw. Bashe, likini kutokana na niliyosoma hapa huyu mh. alikumbatia nyadhifa kadhaa katika Serekali na Chama ambacho sasa hivi Kinamtema. Naamini Bashe alikuwa akisafiri nje ya nchi kutuwakilisha au hata kwa shughuli zake mwenyewe, na bila shaka kama mtu yeyote hana budi awe na Hati ya kusafiria (Pasport)na bila shaka Bashe ana Pasport ya Tanzania. Je aliipataje kama si Mtanzania? Taratibu za Kupata pasport za nchi yeyote ni lazima uthibitishe uraia wako. Na Afisa wa Pasi akiridhika na maombi hayo na kuwa hukudanganya ataruhusu upewe hati hiyo. Ikiwa Bashe anayo pasport ya tanzania na kwa ushahidi mwingine alionao ningemshauri apeleke shauri hili Mahakamani.
 
Shauri mahakamani anatafuta nini labda kama anataka NEC CCM imrudishie ushindi wake wa kura za maoni na vyeo vyake alivyokuwa navyo lakini kama anataka uraia ni kiasi cha kuukana uraia wa baba yake tu haichukui muda.
 
Kwa hiyo Bashe na Riz picha haziendii??? hapo jibu muulizee masauni!!! Duh huyu Riz sasa naona kapitiliza kwa kumtumia baba yake kuendelezaa siasa za chuki. kaanza na masauni, kafuata Kifukwe yanga, sasa bashe wamemaliza jamani tujuzenii nani zengwe la Riz/JK linafuaaaataaa.....

Hapa issue sio Riz, ila Mama wa kwanza.

Aliyeshika nafasi ya tatu na kupitishwa na nec ni mshauri wa mama wa kwanza. Hivyo mama alimwambia mzee piga ua lazima jamaa apite
 
Nataka kujua siri ya hizi nguvu za ajabu za Bw. Ridhiwan Kikwete

- Kumuangusha Masauni kutoka kwenye Uenyekiti wa UVCCM kwa kashfa ya kughushi umri
- Kumuangusha hasimu wake mkubwa Bw. Bashe kwenye ubunge kupitia Kamati kuu kwa zengwe la uraia
- Kumuangusha Kifukwe kutoka kwenye Uongozi wa Yanga
- Kuongoza kundi la vijana kutafuta wadhamini wa Mgombea Urais kupitia CCM ambae ni baba yake.

Huyu dogo naanza kumtizama kwa jicho la Tahadhari...!

Baba anamsafishia mwanae njia ili baadae nae aukwae ukuu wa nchi.

You should understand things in this way:
Lowasa is a silent player. wale wote waliozungumza against lowasa hasa ktk umoja wa vijana anamtumia Riz kuwamaliza. Hii ni sehemu ya mikakati ya lowasa kwa ajili ya uchaguzi ujao 2015. Vile vile Lowasa amemwahidi Riz kumpromote kisiasa mpaka ngazi ya juu pindi akiukwaa ukuu wa nchi. Hivyo Riz is not doing this for nothing
 
Labda hawa vigezo siju!

08_10_fgk9hw.jpg

Mwanasiasa mkongwe nchini, Kingunge Ngombale-Mwiru (kushoto), akibadilishana mawazo na katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), John Chiligati wakati wa mkutano wa Halmashauri Kuu (NEC) wa mchakato wa kupitisha majina ya wagombea wa nafasi za ubunge na udiwani wa chama hicho, mjini Dodoma.Katikati ni Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa.
Mwenye kujua maana haambiwi tazama..
Ikiwa hapa ni ktk mchakato wa kupitisha wagombea, huyo Lowassa anafanya nini hapo mbele hali naye pia ni miongozi mwa Wabunge ambao wanahitaji kupitishwa?
 
Back
Top Bottom