Sawa, Hussein Bashe SIO Mtanzania: Na hawa JE? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sawa, Hussein Bashe SIO Mtanzania: Na hawa JE?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Sajenti, Aug 16, 2010.

 1. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #1
  Aug 16, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Kwa muda mrefu nimekuwa nikifatilia kitimtim cha kura za maoni kwa wanachama wa chama tawala CCM. Mengi ya kushangaza, kufurahisha na kuchekesha yametokea lakini ni sehemu ya mchezo wa si-ha-sa (siasa). Kitendo cha halmashauri kuu ya CCM kumpoka uanachama na pia kutamka kuwa Hussein Bash aliyekuwa mshindi wa kura za maoni jimbo la nzega kuwa si raia wa Tanzania limenishangaza. Pamoja na Bash, halmashauri hiyo pia ilihoji uhalali wa uraia wa mbunge wa kilosa na waziri wa fedha na uchumi Mustafa Mkullo kuwa ni raia wa malawi lakini alipitishwa.

  Najaribu kufikiria ni wakati gani mtu huonekana kuwa si raia wa Tanzania? Kuna wengi ambao walikutwa na masahibu haya akiwemo Jenerali Ulimwengu. Kwani baadhi ya watu ambao uraia wao uhojiwa wamekuwa viongozi wa nchi hii kwa muda mrefu na katika nafasi nyeti kabisa.....Hebu tusaidiane mawazo jamani nchi hii nani ni mtanzania halisi na kwa vigezogani????
   
 2. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #2
  Aug 16, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  [​IMG]  [​IMG]


  [​IMG]  [​IMG]


  [​IMG]


  [​IMG]
   
 3. kaburunye

  kaburunye JF-Expert Member

  #3
  Aug 16, 2010
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 675
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  KoK
  Hao ni "watanzania wenye asili ya kiasia". Hahahaaahahaaaaa. Nenda Asia useme eti wewe ni m-asia mwenye asili ya kiafrika uone kama utaruhusiwa kuingia kwenye siasa za nchi zao. Umasikini unatugharimu sana
   
 4. Technician

  Technician JF-Expert Member

  #4
  Aug 16, 2010
  Joined: Mar 30, 2010
  Messages: 843
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mtanzania halisi ni yule mwenye CHETI CHA KUZALIWA TANZANIA.(BIRTH CERTIFICATE)
  SIMPLE.
   
 5. b

  blackpepper JF-Expert Member

  #5
  Aug 16, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 382
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  na Akina Abdullahman Kinana je...kama kuna Watznzania wenye asili ya ki asia why not Watanzania wenye asili ya Kisomali
   
 6. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #6
  Aug 16, 2010
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Labda hawa vigezo siju!

  [​IMG]
  Mwanasiasa mkongwe nchini, Kingunge Ngombale-Mwiru (kushoto), akibadilishana mawazo na katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), John Chiligati wakati wa mkutano wa Halmashauri Kuu (NEC) wa mchakato wa kupitisha majina ya wagombea wa nafasi za ubunge na udiwani wa chama hicho, mjini Dodoma.Katikati ni Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa.
   
 7. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #7
  Aug 16, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Tz yaani hatuko serious katika kila kitu,one day itakuja kutucost.
  Chiligati anasema BASHE alizaliwa na kusoma apa TZ ila wazazi wake ni wasomali na kwa sasa washachukua uraia.
  Civics yangu inaniambia that is CITIZEN SHIP BY BIRTH JAMANI
   
 8. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #8
  Aug 16, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,458
  Likes Received: 5,844
  Trophy Points: 280
  ....Mungai....sio Kikuyu hii mutu
   
 9. SILENT WHISPER

  SILENT WHISPER JF-Expert Member

  #9
  Aug 16, 2010
  Joined: Jun 26, 2009
  Messages: 2,231
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  hawa wasomali tuwaangalie sana hawa...! watapenya kwenye ranks na tutakoma oneday..!

  ni tatizo la ccm kukumbatia watu wenye pesa!
   
 10. SHUPAZA

  SHUPAZA JF-Expert Member

  #10
  Aug 16, 2010
  Joined: Aug 4, 2009
  Messages: 548
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Nimeyapenda sana haya maneno ni mapya sana kwangu kumbe inawezekana ukawa m-asia lakini ukawa na asili ya tanzania kisiasa tu
   
 11. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #11
  Aug 16, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Civics ya Chiligati iz not richabo!!!
  Nimechoka na madudu ya CCM!!
   
 12. N

  Nyauba JF-Expert Member

  #12
  Aug 16, 2010
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 1,098
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Suala la Bashe na utata wa uraia wake ndani ya CCM ni mbinu tuu katika kutekeleza matakwa ya kambi ndani ya taasisi yao CCM. Kama CCM wana nia ya dhati kulinda na kuheshimu uraia wa taifa hili basi wawe wazi kila wakati.

  ni matumaini yangu kuwa Kinana, Rostam, Mo, na wenzao wa aina yao watatuma maombi ya uraia uhamiaji....
   
 13. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #13
  Aug 16, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Hawa wa Somalia hawana note ndo maana wanatoswa....
   
 14. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #14
  Aug 16, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,458
  Likes Received: 5,844
  Trophy Points: 280
  Ismail Aden Rage...mmmh...kapita lakini
   
 15. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #15
  Aug 16, 2010
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  kaka sibiri niwaambie, nnchi hii inafanana na taifa la kifalme, mkasa mzzima unaanzia kwenye uchaguzi wa umoja wa vijana wa ccm, kule alitofautiana na Ridhwani kikwete, inadaiwa ukigombana na hiko kibwana mdogo , umegombana na ikulu ya magogoni, maendeleo yako kisiasa, yako matatani.
  Ridhwani na babake SIJUI AKILI ZAO, SASA NA HAWA KINACHILIGATI , MAKAMBA NA WAPUUZI Aliowataja Jenerali ulimwengu last week , hawana uwez wa kuhoji, ni Mtizamo wangu.
   
 16. Tonge

  Tonge JF-Expert Member

  #16
  Aug 16, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 696
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hii ndio bongo bana, ina maana walijua kuwa Bashe sio raia baada ya kugombea Ubunge, je ailipokuwa NEC na UVCCM hawakujua?

  Na je ana siri ngapi za chama na serikali kwa kuwa moja ya watu waliokuwa kiini cha serikali ya CCM na je hawazi kuvujisha hizo siri zikaicost nchi? Sijui hawa CCM wanafikiri kwa kutumia makalio au ubongo sijui.

  Kuhusu hawa wakina Dweji, Abuud, Rostam, Shabiby hizo ni njaa za CCM kwani hawa hufadhili chama kwa asilimia kubwa kama kutoa fedha au kutoa mabasi yao nk, so mis sijui tunaelekea wapi watanzania.

  CHADEMA chukueni nchi tuanze mchakato wa kujua nani raia na nani si raia na pia tuangalie living permit za wageni kama wahindi na waarabu ambo wengi ni wakwepaji kodi wakubwa na wanabiashara haramu nyingi.
   
 17. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #17
  Aug 16, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Hivi yule ni Msonjo au Muethiopia? Duh Simba wasije wakanitoa roho bure hapa
   
 18. m

  mwanamilembe Member

  #18
  Aug 16, 2010
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mbona hata Batilda Burian ni baba msomali mama mmeru
   
 19. N

  Nyauba JF-Expert Member

  #19
  Aug 16, 2010
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 1,098
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Kwa hiyo Bashe na Riz picha haziendii??? hapo jibu muulizee masauni!!! Duh huyu Riz sasa naona kapitiliza kwa kumtumia baba yake kuendelezaa siasa za chuki. kaanza na masauni, kafuata Kifukwe yanga, sasa bashe wamemaliza jamani tujuzenii nani zengwe la Riz/JK linafuaaaataaa.....
   
 20. S

  Samat Member

  #20
  Aug 16, 2010
  Joined: Dec 20, 2009
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Me nafikiri suala si Uraia, nahisi .C.C.M imetumia tu ujanja fulani na njama ili kumuondoa Bashe, kwani walivyompa vyeo lukuki vya CCM hawakujua kama si raia, hizo kamati za siasa zilikuwa wapi mpaka anapewa form ya kugombea ubunge na kugombea wakijua yeye c raia?? na hastahili??

  Wakati wamegundua Masauni kafanya udanganyafu kwanini wasiwe makkini kuchunguza na kwa wengine? naamini hapa kuna kamchezo kamechezwa na kwa sababu maalum tu..

  Ni aibu sana kwa chama tawala kuwa na mambo ya kijinga kama haya..Kinatutoa imani sana sisi wana CCM maana kimekuwa na mambo mengi yasiyo na msingi, rushwa, udanganyifu na ukabila pia.. inasikitisha sana,.
   
Loading...