Sawa anaweza asiwe ana chepuka,Ila kama Mkeo\Mpenzi yuko Busy na Mitandao hii, Basi tambua..

Jimmy De Lite

JF-Expert Member
Jun 10, 2019
635
2,305
Hey Pals
Najua humu kuna watu wameoa na ndoa zao ziko vizuri kabisa,Na wake Zao ni watiifu kabisa,Kutokana na utiifu huo basi kuna wanaume wamejipa imani kwa wake zao kuwa hawawezi kuwasaliti kutokana na wake zao Mara nyingi kushinda nyumbani na watoto hali inayo pelekea kuwapa uhuru kwenye suala la matumizi ya mitandao kama Facebook,Instagram na Whatsaap.

Nikwambie kitu,Unaweza ukawa unamkuta nyumbani mkeo kila utokapo job huku kakuandalia kila kitu,Usijipe imani kuwa mkeo hana kasoro,Anaweza asiwe ana kusaliti kwa vitendo ila akawa anakusaliti kwa sex chat na masharobaro wa fb,kuna vijana huko wao siku hizi ni kushinda google na kusearch namna ya kumkojoza mwanamke Hata kwa text yani "sex chat",na Mara nyingi haiishia hapo na lazima picha za uchi mkeo atume ili kuongeza stimulation zaid,
Nimeleta Uzi huu ni baada ya kushuhudia kwenye simu ya dogo mmoja akichat na wadada wawili mmoja wa tanga mwingine wa Dom,na dogo una ambiwa usiombe demu wako ajichang'anye kuchat nae,Mademu huwa wanamfuata mwanza kwa nauli zao,imagine,

Mkeo kama hana kazi na Mara nyingi yuko busy na simu,hesabu majanga bro, Hapo hatachukua mwaka bila kukusaliti kwa vitendo,Ni heri mkeo umtafutie kazi ya kumkeep busy vinginevyo atakuwa anashinda anakojozwa hapo hapo nyumbani na ukirudi hom unamkuta katulia zake ila ukimuomba mzigo anadai hajisikii,ukifanya upelelezi hapo kitaa una ambiwa mkeo hatoki,unabaki kichwa kuuma tu kumbe mkeo akili yote iko kwa bishoo wa mwanza,na mkeo akifika hatua hii jua kabisa anaandaa mikakat ya kukusaliti kwa vitendo.

Mimi nilikuwa naona huko fb,kijana anapost huku akiomba demu wa kuchat nae mpaka akojoe😵😵,Nikawa najiuliza,mtu kwa kuchat tu anawezaje kufika kitonga!!?
Ama kweli Dunia iko kasi sana.

#Jimmy-The-Inimitable
 
Ndugu kila mtu na akili yake waweza mtaftia hicho kijikazi cha kumkeep busy na bado akakusaliti vile vile hizi mambo zinahitaj akili ya mhusika kujitambua kujiheshim na kujua thamani yake.
 
Kupitia wimbi la nyuzi hizi nimegundua kumbe jinsi me ina insecurities nyingi sana tofauti na jamii ilivyotuaminisha kabla.
 
Kupitia wimbi la nyuzi hizi nimegundua kumbe jinsi me ina insecurities nyingi sana tofauti na jamii ilivyotuaminisha kabla.
Hata hapa watakuja kukubishia maana hawataki kukubaliana na ukweli
 
wanawake ni kichwa cha mwendawazimu, hata ufanyaje lzm dish lao liyumbe
 
Back
Top Bottom