Sautisol ft. Ali Kiba - Unconditionally Bae

Nice music! Awesome video, Si mshabiki wa Kiba but uwezo wake unaonekana mwishoni mwa verse yake, ule Ni ujuzi Ni zaidi ya kuwa mwimbaji kufanya vile, lazima uwe Na kipaji cha sauti!
Huwa anasema hizo ndo silaha zake
 
Atakaesema jamaa kaharibu bhasi ni sawa na mchawi anaewanga mchana kweupeeeee.....
 
Kwani kiba ni bongo movie zungumzia nyimbo yaani uimbaji thn ndo tuje kwnye video Mzee
Mkuu muziki wa Leo Ni zaidi ya kuimba, Audio kali, viende sawa Na video kali coz ndo muziki unataka, Joh makini nje ya Bongo yupo juu kuliko Fid, ni baada tu ya video yake kali alofanya South, pamoja na ile alofanya na AKA, but nyumbani tunasema Fid Ni level nyingine, sasa Fid nae ndo kaamka kufanya video kali! Hivi ndo tunataka!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom