Sauti ya nimechoka kwa mwanamke during sex ina maana gani?

Ukiona ivo mapumzikon ruksa na sio dhambi baada ya masaa mawil mnakuwa wapyaaa
 
Abee mkuu Kepph, mambo!
Bado kidogo nabeba wife angu
1.jpeg


K,K
 
Hapo Mwanamke Anashindwa kukwambia kuwa Sina hamu ya kufanya tendo, hunifikishi, hunifurashishi, sifurahii tendo, anawaza Mambo kibao kichwani kwake, out of mood, humkojoleshi, humjali kihisia.... hakuna romance, hakuna mazingira / maandalizi ya kufurahia tendo, umetoka kumgombeza na kumsinganga.... Utegemee asikumbie nimechoka etc.

Hii ndio maana ya nimechoka anapokuwa kitandani. Haki nakwambia hata Kama amechoka ... Still ana uwezo wa kukwambia.... Babe.... Nipe taratibuuuu.... Mpaka nikojoe Mpenzi wangu. Kama anakufurahia na anafurahia tendo. Utamu Hauchoshi. The vise versa is TRUE.
Nakubaliana Na we

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom