Sauti ya Mmanyema ikivuma Ulaya : Saidi Kanda

bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
21,283
24,155
December 26, 2016

Sauti ya Mmanyema ikivuma Ulaya lakini haifahamiki nyumbani Tanzania ya mwanamuziki maarufu wa Kitanzania kwa jina Saidi Tumba a.k.a Saidi Kanda aliyekuwa mpiga tumba maarufu wa bendi ya Remmy Ongala & Orchestra Super Matimila. Saidi Kanda aliwahi kupata tuzo yenye kuheshimiwa ya Womad kama mpiga ngoma maarufu Saidi Kanda - anfgallery .

Saidi Kanda haoni haya wala unyonge kuwasiliana kwa lugha ya Kiswahili pia kuwaimbisha na kuwachezesha midundo ya muziki wa kiasili wapenzi wa muziki wakaazi wengi wa miji mingi ya Ulaya Kaskazini kwa midundo ya kisasa yenye vionjo vya kutoka wenyeji wa Kigoma, Bagamoyo na Dodoma nchini Tanzania.

Katika mojawapo ya maonesho yake mengi video clip hiyo hapo chini tunamwona Saidi Kanda akiwa anapiga ala ya muziki wa ki-Tanzania huku amevalia ''msuli/sketi'' ya vazi la asili la Uskochi (Scotland) kwenda sambamba na wenyeji wake. Katika onesho hili pia alikuwapo mwanamuziki mTanzania Mvula Mandondo akiimba pamoja na Saidi Kanda. Watanzania hawa wawili wanafanya kazi za kimuziki pamoja.

Vitu live : Watu Weeeee
Saidi Kanda with Mvula Mandondo

Source: Bekutowasirya
Tanzanian musical maestro performing live at The Brighton Dome. Dj T.A.S.K. with African Night Fever.
Saidi Kanda is a traditionally based and award winning Tanzanian multi instrumentalist.
 
Tsunami | Saidi Kanda & Mvula Mandondo



Source: Saidi Kanda & Mvula Mandondo
Swahili
The first section of this three-part song was written twenty years ago, inspired by the war in Sarajevo. The song is asking, “God, what have we done to deserve this?”
Mankind is being punished for its destructive behaviour bringing death in the form of war and natural disasters. The last section was written during the recording sessions, inspired by the recent disasters in South East Asia and Japan and paying respect to the victims and their families. "Tsunami!"

From the album 'Ambush' produced and arranged by Edward Shearer
 
Back
Top Bottom