Sauti ya Mahojiano ya Mwanasheria Isaq Sharif na Mohamed Khelef wa Sauti ya Ujeruman | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sauti ya Mahojiano ya Mwanasheria Isaq Sharif na Mohamed Khelef wa Sauti ya Ujeruman

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kakke, Jun 13, 2012.

 1. Kakke

  Kakke JF-Expert Member

  #1
  Jun 13, 2012
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 1,797
  Likes Received: 389
  Trophy Points: 180
  [h=2]Mohammed Khelef amezungumza na mwanasheria wa Kituo cha Haki na Sheria cha Zanzibar, Is-hak Sharif, ambaye kwa sasa yuko safarini London, Uingereza, kujua kwa nini wanasheria waanaamini kuwa Katiba imevunjwa.[/h]  AUDIO | DW.DE

  IDHAA YA KISWAHILI / Matukio ya Afrika[​IMG]
  [h=4]Matukio ya Afrika[/h][h=2]Katiba Mpya: Wanasheria Zanzibar wasema serikali imevunja Katiba[/h]

  Baraza la Wawakilishi la Zanzibar linapokea Sheria Na. 8, 2012 iliyopitishwa na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kusainiwa na Rais Jakaya Kikwete juu ya kuanzishwa Tume ya Maoni ya Wananchi kwa Katiba Mpya.
  Kitendo cha Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kuwasilisha Sheria Na. 8, 2012 iliyopitishwa na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kusainiwa na Rais Jakaya Kikwete juu ya kuanzishwa Tume ya Maoni ya Wananchi kwa Katiba Mpya wakati hata Tume yenyewe imeshaapishwa na kuanza kazi, kinalalamikiwa na wanaharakati wa sheria, wakisema kwamba kinakiuka utaratibu wa kikatiba.
  Mohammed Khelef amezungumza na mwanasheria wa Kituo cha Haki na Sheria cha Zanzibar, Is-hak Sharif, ambaye kwa sasa yuko safarini London, Uingereza, kujua kwa nini wanasheria waanaamini kuwa Katiba imevunjwa. Kusikiliza mahojiano hayo, tafadhali bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.
  Mahojiano: Mohammed Khelef/Is-haq Sharif
  Mhariri: Othman Miraji


  [h=4]Sauti na Vidio Kuhusu Mada[/h]
  [h=2]Mohammed Khelef amezungumza na mwanasheria wa Kituo cha Haki na Sheria cha Zanzibar, Is-hak Sharif, ambaye kwa sasa yuko safarini London, Uingereza, kujua kwa nini wanasheria waanaamini kuwa Katiba imevunjwa.[/h]

  [h=4]Mengi zaidi kutoka kigawe hiki[/h]
   
Loading...