comte
JF-Expert Member
- Dec 11, 2011
- 8,207
- 5,933
Kwa vile hujawa mtawala- SAWAUkishaamua kuwashabikia so called watawala . Unakuwa juha
Kwa vile hujawa mtawala- SAWAUkishaamua kuwashabikia so called watawala . Unakuwa juha
Nchi nyingi zimepita njia hiyo.Tukijirekebisha tunaweza tusifike huko
Katafute kazi upate ela ya kula sio kulia lia vitu vumepanda bei
Ndugu waTz wengine wana kejeli sana, Mimi naandika hoja. Yeye anasema nitafute hela ya kula, niache kulalamika bei juu. Inashangaza sana.Sasa ukipata kazi huo mshahara utakufikisha wapi na huu mfumuko wa bei? Au huelewi athari za mfumuko wa bei kuwa unapunguza thamani ya pesa kwani kwa sababu ya bei kupanda unapata bidhaa chache kuliko kabla ya bei kupanda!!
Ni njia mbaya sana. Hasa ktk karne ya 21.Nchi nyingi zimepita njia hiyo.
Kwa level za kiburi cha hawa watawala wetu weusi hatuwezi kuikwepa!
Na tukiikwepa itatusumbua as we go...!
Watawala ndio wanawapenda watu wa namna hiyo; wapumbavu!!!Ndugu waTz wengine wana kejeli sana, Mimi naandika hoja. Yeye anasema nitafute hela ya kula, niache kulalamika bei juu. Inashangaza sana.
Tumefika hatua kufanya mjadala ni ngumu sana. Personal attack bila kujali hoja ni nini!Watawala ndio wanawapenda watu wa namna hiyo; wapumbavu!!!
Tatizo kubwa lipo hapo....ni mwana CCM gani anaweza kuikosoa serikali?! Hakuna..
Ukiikosoa serikali, au kauli ya Rais, unaonekana umeikosea CCM, unaitwa kwenye Kila kikao.
Watu hawaoni hili ni hatari. Inakuwaje maoni juu ya serikali ni kuikosea CCM.
Si mlisikia walisema eti Rais hakosei?! Na watu wakatulia tu.
Sauti kutoka Mwitongo. Tanzania yetu, tunakupenda Tz.#1 Reserved
Nchi itasimama.Tatizo kubwa lipo hapo..
Watu woote wanatakiwa kuwa na mawazo ya aina moja, akili mgando!