SAUTI HURU: "CUF yaingia kwa kishindo, yazoa 3,000 wa CHADEMA Arusha!"

yaani waarusha/wachaga wahamie uamsho...haiwezekani labda ni wale wa ccm wameingia cuf wanatudanganya
 
Lemboto hao wamekosa cha kuandka il gazet liuzke ndo maanake na wanahtaj msaada wa kmawazo waulze hata cuf wenyewe huone.
 
Msaada kwa wana wa KAFU
Je katika hao 3000 wa huko Arusha baada ya kuwapata mliwahoji kwamba wanatokea Chama gani au kwa kuwa ni Arusha basi mna assume kwamba ni Chadema ?Naomba msaada kwa kweli
 
:lol: Haa haa haa haa!!!!! Propagnda za hao ccm b haziwanyimi usingizi wa tz wenye nia ya dhti ktk kuleta mabadiliko. Wanafikiri kizazi hiki ni cha enzi za ujima? Watu sasa hivi wemekuwa enlightened and they know kwamba huo ni uongo mtkatifu, how comes mkutano una watu chini ya 3000 then wapate wanachama wote hao. HAAAAAA!!!!!!!!!!!!!!!.
 
Wanaacha kuandika habari za rufaa ya G. Lema then wanapotezea na upotoshaji usiyo na kichwa wala miguu.
 
Waandishi makanjanja, vibaraka wa ccm kama hawa ndo wanaostahili kuwa-mwangosified. Shame on them!!!
 
Chadema hamna lolote nyinyi na CCM ni wamoja tu nyote mupo kwa ajili ya kuimarisha Kanisa tu na si jengine ni backups Ya CCM tu Kanisa siku ikiona CCM haina maslahi na kanisa ndio mutakabidhiwa nyinyi. Nchi hii inatawaliwa na Kanisa kwa nyuma ya pazia. si mulisema humumtambuwi kikwete ilikuwa ni geresha ya Kanisa tu. kama kweli nyinyi sio Kanisa basi tuwelezeni vipi mutashinda uchaguzi wakati.. 1. Tume ya Uchaguzi ni CCM (kanisa)
2.Polisi Ni CCM (Kanisa) 3. Jeshi Ni CCM (Kanisa) 4.Mahkama Ni CCM (kanisa) 5.JKT ni CCM (Kanisa) Kila Kitu Muhimu kinatawaliwa na CCM kanisa na nyinyi hatuwasikieni kufanya chochote cha kubadilisha hali kwasabau masilahi yenu ni kwa kanisa ivi kweli kama nyinyi sio CCM (kanisa) yule muhindi wa CCM anayewapa mamilioni ya shilingi ccm wangemuacha kweli kama si kwa ridhaa ya CCM?

Mkuu Kifoi umetoa povu sana!
Nikikusoma katikati ya mistari unaonekana kuwa ki saikolojia una sumbuliwa na vurugu za maono dhidi ya udini ambao bila shaka umekuvua utashi wako wa kawaida na kukuvalisha upofu.

Niambie hawa ndugu zetu walisilimishwa kwenye kanisa gani?!
Uongozi wa juu
1.0 Jakaya Mrisho Kikwete - muislam - Rais
2.0 Mohamedi Gharib Bilal - Makamu wa rais

Hao wote ccm mmoja kutoka bara mwingine kutoka visiwani ambako bila shaka kwa neno ulilo tumia la "MUPO" wewe ni mpemba hivyo unaweza kusaidia jina la kanisa na siku ambayo Sheikh Bilal alisilimu ili kusimamia ya wakristo kupitia ccm.

1.1 Saidi Mwema
2.1 Suleyman Kova
Hawa nao kwa kila hali wana linda maslahi ya ccm dhidi ya upinzani ndio maana wamesimamia mazonge mazonge mengi kwenye vyeo vyao! Je nao wamesilimishwa na kanisa gani kusimamia maslahi ya kanisa na niambie wana sali makanisa gani?!

1.2 mohamedi shein ccm
2.2 shari hamad cuf
Wote wako serikali, mmoja toka chama kinacho jiita cha upinzani mwinge toka chama tawala! Maelezo yako umesema ccm na cdm wote wanasimamia maslahi ya kanisa! Niambei hao wanandoa wamejenga makanisa mangapi na wana simamiaje maslahi ya kanisa?! Utatenda haki pia ukisema wamesilimishwa lini na lipi jina la kikristo la Sheikh sharif hamad.

Unacho takiwa kukijua kwa sasa ambacho labda ulikuwa hukijui! Adui namba moja wa Tanzania kwa sasa ni ccm, kwa hiyo yeye anaye ungana au ku-msupport adui yetu naye ni adui wa wapenda mabadiliko! Vinginevyo avunje kikombe arudi kwenye mstari wa wanao pigana ccm watolewe! Hapo atakuwa rafiki wa upande wa mabadiliko.

Ushauri.
Usichanganye udini na dini. Kuwa muumini wa Dini, usiwe muumini wa udini maana udini ni sumu kali kuliko ya mamba. Ukiwa muumini wa dini utapima mambo kwa akili timamu sio ya kupiga mbizi kama akili ya udini ambayo naona wewe imekuwehusha kwa vurugu za maono.

Think or sink

Sent from BlackBerry 8520 authorized by JamiiForums.
 
Ukiangalia kichwa cha habari hapo juu utagundua kuwa unachoenda kukipata si cha kweli na kimejaa uongo ndani yake. Heading hiyo iko kwenye gazeti la sauti huru.

Sauti huru nila kada wa ccm lakini hapa linatumika kujenga uongo wa mchana kweupe! Labda mlioko Arusha mumsaidie muandishi kumuambia ukweli.

Haha.. hapo umenena.Tena Ikizingatiwa move yao yote ya kwenda arusha ilikuwa well covered hapa JF ni ngumu sana magazeti ya kipuuzi kupumua.
 
sasa magari yenyewe yaliyotoka hapa DAR yalikuwa na wanachama tulikuwa kama 400 kwa kweli kadi 3000 hapana hatukuwa nazo tulipewa kadi kama 60 za chadema hatujui tukaambiwa tuzirudishe tukufika arusha mimi kwa kweli nilishuka pale msata ila chama chetu sasa hili tunalofanya sio
 
Hao jamaa wamefika pabaya, wanadhani watapata umaarufu kupitia CHADEMA,Mtatiro that is too low for you. sijui kama mnajua mnachokifanya
 
Hapana kuna typing error ni kwamba CUF imevuna wanachama wapya 30 kutoka ktk mkutano wao Arusha na si 3000 kama gazeti lilivyoeleza wahusika wataomba msamaha kwenye toleo lijalo.
 
attachment.php
 
Kweli, na hata yule aliyekuwa diwani wa CDM Arusha naye pia makazi yake ni Buguruni Malapa naye pia alisafirishwa na COASTER.
Unajua kusoma mkuu, nimesema siyo CUF ilipata watu wasio zidi 100 sasa huyo Bayo na huyo mama ni kati ya hao hata wana JF zaidi ya watano nilio waona kwenye mkutano huo walikuwepo..
 
Back
Top Bottom