Sauti:DW Maoni mbele ya Meza ya Duara: Miaka 50 ya Uhuru wa Tanganyika

Kakke

JF-Expert Member
Dec 4, 2010
1,883
1,482
[h=1]Vidio click

Sauti:DW Maoni mbele ya Meza ya Duara: Miaka 50 ya Uhuru wa Tanganyika | Mzalendo.net

Written by salma // 10/12/2011 // Sauti // 3
Comments

Katika Maoni Mbele ya Meza ya Duara kutoka Deutsche Welle wiki hii, Othman Miraji anaongoza mjadala kuhusiana na maana, nafasi na umuhimu wa miaka 50 ya Uhuru wa Tanganýika kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na majirani zake. Kusikiliza kipindi hiki

[/h][h=4]Related Posts[/h][h=1][/h][h=3]Sikiliza mahojiano ya sauti ya Ugerumani na vigogo wa cuf Ismail Jussa & Hamad Rashid[/h][h=1]
[/h][h=3]Sauti:Kificho ataka Shirikisho la Afrika Mashariki lizingatie Historia[/h][h=1]

[/h][h=3]Sauti:Maada Katiba ya Tanzania(Meza ya Duara DW Swahili)[/h][h=1]

[/h][h=3]Sauti:Kauli ya Cameron yaleta mtafaruku Afrika[/h][h=1]
[/h][h=3]Sauti:Mahojiano na DW juu ya maandamano ya Wall Street[/h][h=1]

[/h][h=3]3 Comments on "Sauti:DW Maoni mbele ya Meza ya Duara: Miaka 50 ya Uhuru wa Tanganyika"[/h][h=1]

  1. zamko 10/12/2011 kwa 8:30 um · Ingia kujibu
    Interview gani hii ya Makada watupu wa CCM na Matumbo ngozi n.k hakuna laama moja walilolisema Utumbo na kuipamba Serikali ya Tanganyika inayoendesha Serikali kwa kutumia Kanisa lkatholiki.

  2. kassem 11/12/2011 kwa 5:33 um · Ingia kujibu
    Cha muhimu ungezingatia aliyo sema Salim Said Salim mwandishi wa siku nyingi na machachari. Mimi nahisi amezungumza vizuri na kwa yale machache yanayo husiana na Zanzibar pia kayajibu vizuri.
    Kwa upande wa Mwenyekiti wa kipindi Othman Miraj, naye naona maswali yake yalikuwa mazuri na mazito sema naona yamewakaa hao makada hata huyo Prof Nyangoro. Mambo yakutuambia US wamepata uhuru miaka 200 na ndio wamefikia hapa walipo fika na sisi tusubiri 200 kufikia hapo waipo fika, tukifika huko wao wapo hatua nyengine. Tunachotakiwa twende sambamba na ikiwezekana zaidi ya hapo.

  3. Ghalib 11/12/2011 kwa 6:11 um · Ingia kujibu
    Nawauliza hawa watangazaji,anasema uhuru umeleta nchi na bendera na kiti katika umoja wa mataifa,sasa namuuliza siku gani tanganyika ilipewa kiti katika UN mwaka gani ?
    KITI cha umoja wa mataifa kinachotumiwa na tanganyika /tanzania ni cha wazanzibari,hawa wote wanafiki tu

[/h]Written by salma // 10/12/2011 // Sauti // 3 Comments

Katika Maoni Mbele ya Meza ya Duara kutoka Deutsche Welle wiki hii, Othman Miraji anaongoza mjadala kuhusiana na maana, nafasi na umuhimu wa miaka 50 ya Uhuru wa Tanganýika kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na majirani zake. Kusikiliza kipindi hiki

[h=4]Related Posts[/h][h=3]Sikiliza mahojiano ya sauti ya Ugerumani na vigogo wa cuf Ismail Jussa & Hamad Rashid[/h]
[h=3]Sauti:Kificho ataka Shirikisho la Afrika Mashariki lizingatie Historia[/h]

[h=3]Sauti:Maada Katiba ya Tanzania(Meza ya Duara DW Swahili)[/h]

[h=3]Sauti:Kauli ya Cameron yaleta mtafaruku Afrika[/h]
[h=3]Sauti:Mahojiano na DW juu ya maandamano ya Wall Street[/h]

[h=3]3 Comments on "Sauti:DW Maoni mbele ya Meza ya Duara: Miaka 50 ya Uhuru wa Tanganyika"[/h]

Back
Top Bottom