Saut-songea hali mbaya,boom kizungu mkuti,mhasibu na dean watupiana mpira. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Saut-songea hali mbaya,boom kizungu mkuti,mhasibu na dean watupiana mpira.

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by bakundu, Oct 14, 2012.

 1. b

  bakundu New Member

  #1
  Oct 14, 2012
  Joined: Oct 14, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wiki mbili zilizopita dean of students alituambia boom litaingia tukaona kimya,wiki iliyoisha yaani tar 8 hadi 13,wakaitisha kikao jumatatu jion wakatuambia pesa zimeingia na wanahitaji namba za account mpaka tar 13 jumamosi kilamtu atakuwa ameshapata fedha,nilipo ona kimya kimezidi nikaamua kumfuataa dean kumuuliza anasema pesa zipo kwa mhasibu subilini majina yabandikwe,tulipo zidi kumuoji alijibu"ningeweza kuwasaidia ila mimi sina mamlakanazo".tukaenda kwa mhasibu vipi wiki tuliohaidiwa imepita?, alijibu"alijubu nasubiri majina ya wanasauti waliotoka mwanza yatumwe kwa njia posta yatapofika ndipo nitabandika kwani mnaharaka gani"tukamwuliziza yatafika lini alijibu "sijui"huku wenzetu wa mwanza na mtwara wamepewa tayari hizo fedha na pia tumeishiwa fedha za kutuaccomodate hapa ktk mji wa songea.
  Kwa hali isiyo ya kawaida,hii hali inapelekea baadhi ya wanachuo wenzetu hasa wa kike kuanza kufanya biashara haramu ya kuuza miili yao ili waweze kujipatia kiasi fulani cha fedha ili waweze kujikimu kimaisha.WANA JAMII,TUFANYAJE?.
   
Loading...