SAUT, pesa ya Special Faculty kwa Wanafunzi mnapeleka wapi?

Kwanini usitolewe utaratibu wanafunzi wote wakajua pesa inakwenda wapi kuliko mtu mmoja mmoja kwenda kwenda kwa bursar? Na vipi kuhusu wale wasio jua kuhusu hilo? Na pesa wanakuwa tayali washa saini zinakwenda wapi?
Utaratibu wa kulipa ada kila mwanafunzi anaujua..unaingia osim yako unagenerate control number kwa kila aina ya malipo unayohitajika kulipa...na kiasi cha kulipa huwa kinaonekana huko..
 
SAUT ukikaa vibaya wanaweza kukudai na wakati ulishalipa..system huwa inacheza, sio matokeo sio payments.. kiufupi ukifanikiwa kumaliza hapa bila purukushani inabd ukatoe sadaka.
Na huwezi kulalamika hapa..jipiganie mwenyewe..
 
Kweli kabisa mkuu unaweza ingia Osim ukakuta una deni wakati usha lipa na penati juu washa kuwekea
 
Mazingira unayafaham vizuri sana mkuu ni shida hiki chuo
Ndio hivo..mm mwenyew nina matatizo yangu mengi tu huko Osim.
Hapa SAUT cha msingi ujipiganie mwenyew..hii ni private sio serikali mseme mtagoma.
Chamuhimu huku mtaani maisha yanaendelea vizuri tu.OSIM nishaisahau kwa muda
 
Kuna money to be paid to the students na to be paid to the college...na hiyo special faculty ipo upande wa to be paid to the college kwa hiyo ipo kwenye discretion ya chuo kumpa mwanafunzi au la.

Waliosoma miaka ya nyuma walishaidai hiyo pesa...ikawa noma kubwa sana...bwana Kitima akatolea ufafanuzi na wanafunzi wakarudisha pesa.

Ulizeni kwa wakongwe kwanza,wakati nyie mnajiuliza watu walishazitia mfukoni kabisa wakanywa na bia.
Hicho chuo chenu kina watu wanaojitambua kweli.?

Hakuna namna ni kupambana uku una goma moyoni kimya kimya
 
Kuna money to be paid to the students na to be paid to the college...na hiyo special faculty ipo upande wa to be paid to the college kwa hiyo ipo kwenye discretion ya chuo kumpa mwanafunzi au la.

Waliosoma miaka ya nyuma walishaidai hiyo pesa...ikawa noma kubwa sana...bwana Kitima akatolea ufafanuzi na wanafunzi wakarudisha pesa.

Ulizeni kwa wakongwe kwanza,wakati nyie mnajiuliza watu walishazitia mfukoni kabisa wakanywa na bia.
Mkuu ufafanuzi ungekuwa unatolewa kusingekuwa na mtu wa kuuliza kwamba pesa inakwenda wapi ila wenye kutoa ufafanuzi wako kimya tu
 
Ufafanuzi upo kwenye hiyo fomu inayoeleza pesa za kulipwa chuo na pesa za kulipwa mwanafunzi....mbona hudai school fees? umeona vyuo vingine wanapewa hiyo pesa mkononi ndo maana na wewe unaitaka.

Tafuta kwanza ujue hiyo pesa ni ya kazi gani? hata mimi nilikua na mawazo kama yako before.
 
Back
Top Bottom