Saut ni kama arusha chuo umegeuka chadema | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Saut ni kama arusha chuo umegeuka chadema

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by meba, May 20, 2012.

 1. meba

  meba Member

  #1
  May 20, 2012
  Joined: May 5, 2012
  Messages: 99
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Leo katika chuo kikuu cha st.Augustine kulikuwa na final ya kombe la FAWASCO ambapo nilishangaa watu wote wanashangilia kwa kunyoosha vidole viwili juu muda wote hakuna hata mmoja alienda kinyume wengine badala ya kusema education oyeee...walikuwa wanakosea na kusema CHADEMA oyeee...kweli chd inapendwa sana. Hali kama hii hua naona kule Arusha kweli watu wote wa saut walishudia hali kama hii
   
 2. Nyetk

  Nyetk JF-Expert Member

  #2
  May 20, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 1,624
  Likes Received: 819
  Trophy Points: 280
  Mkuu vyuo vikuu vyote vya serikali na private hali ndo hiyo. look at it as a situation that guarantees a bright prospect for CDM and a necessary fateful tragedy for CCM.

  VIVA M4C!
   
 3. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #3
  May 20, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Mkuu jaribuni kutumia muda mwingi ktk masomo, siasa za Bongo PASUA KICHWA!
   
 4. IKHOIKHOI

  IKHOIKHOI JF-Expert Member

  #4
  May 20, 2012
  Joined: Jan 30, 2012
  Messages: 366
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  hiyo ni trela tuuuu, picha kamili mbado.
   
 5. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #5
  May 20, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 1,118
  Trophy Points: 280
  Mambo yasiyo na maana katika dunia hii iliyojichokea ndiyo yanayopewa nafasi na binadamu wengi. Mfano mpira, siasa, ulevi, uzinzi n.k. Huku watu wakisahau juu ya Ufalme wa Mbinguni. Kama Chadema itawafikisha mbinguni, komaeni nayo.
   
 6. t

  tarizle Member

  #6
  May 21, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 64
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  unafiki mtupu kwasababu tuliokuwepo uwanjani hatukuliona hilo.
   
 7. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #7
  May 21, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Mkuu meba umedanganya kumbe? Soma hapa chini kwa mkuu tarizle.

   
Loading...