SAUT Mwanza yapewa 'Heshima' ya 'Kipekee' kabisa kuwa Chuo Kikuu bora nchini ambacho kinasimamia vyema 'Mikopo' ya Elimu ya Juu kwa Wanafunzi wake

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
42,905
2,000
HESLB

Certificate of Recognition:

We are honored to receive a certificate of recognition from Higher Education Student Loans Board (HESLB) for the role and consistent improvement in the management of students’ loans at SAUT.

Saint Augustine University of Tanzania

GENTAMYCINE najua kuwa Siku si nyingi tu Chuo Kikuu hiki cha SAUT kitapokea 'Tuzo' nyingine ya kutoa 'Products' za 'Geniuses' watupu Nchini.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom