The Ape
JF-Expert Member
- May 9, 2014
- 330
- 474
Mimi ni first year hapa saut,nimesajiliwa kwa laki tatu tu na hawakunisumbua labda inategemea na huyo mtu alikutana na nani.Kuhusu hostel sikai za ndani na hawajanisumbua wala nini na rafiki zangu wanne wapo wamepanga kitaa.Chuo nimekiona kizuri mnoo sijaona izo longolongo unazosemea.