Sauli na Al Saedy vinara wa ligi ngumu ya Dar es Salaam - Mbeya

No signal, Duuhh kama hujui kaa kimya mkuu... Unajionyesha ulivyo mtupu kwenye hii mada! Kwanza hajasema alsaedy na newforce ni kampuni moja, kasema golden deer na newforce na huo ndo ukweli wale nu wamoja. Pili ligi barabarani haipo kisa kukimbia zaidi ya 80kph ila ujue mabasi yote hata yakiachwa yatembee 120kph bado kuna atakaye kuwa wa kwanza na wa mwisho.. Ligi inatokea kwenye kuwahi vituoni pia uwezo wa gari kwenye miinuko wewe ukipanda na 40kph mie nikapanda na 65kph unadhani tutamaliza mlima sambamba? Na je hapo king'amuzi kinahusika vipi? Ujuaji usiuzidishe mkuu hujui kila kitu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Battle iliyopo sasa hivi ni golden deer na sauli,hasa dpk za kina jaja.Ndo battle kubwa iliyopo now.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wiki iliyopita nilitafuna elfu kumi ya jamaa hapa igumbilo iringa kuna mzigo tulikua tunaenda kuupokea ubishani ukaanza nani ataanza kupita mimi nikaweka mzigo (bet) kwa Golden deer yeye akaweka kwa Saul

Saa nane kasorobo mnyama Golden deer alianza kupita akifuatiwa na saul dk kumi na tano baadae kisha Alseedy na wengine wengine wakaanza kuingia.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ving'amuzi vimesaidia ku-control speed japo sio 100%,, juzi Niko kwenye basi siti ya mbele kabisa jamaa alikua anatembea mpaka 90 km kwa saa. Route ya dar/mbeya mfalme no sauli kwa sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Speed ikifika 80 king'amuzi kinalia ila wanewekewa speed ya juu kabisaa bila faini ni 85.

Sasa kuna wanaombetea 80 kwny 50 hapo ndipo wanapigana gap sa usiniulize wanatembeaje 80 kwny 50..

Na wengine wapiga wenzao gap kwny milima huko kuna bs injini za kinanda zinakwea kama flatvile
 
All in all sikuhizi mabasi hayatembei kabisa
Zamani Safari ya Dar mbeya saa 10 jioni upo Mbeya...!
Km mtu anaenda Tukuyu na Kyela saa 11 yupo tukuyu saa 12 yupo Kyela..
Jua halijazamaa safari imekwisha..
Na magari ya zamani hayakuwa Mazuri kama haya
Mashine ni Leyland Comet ,DAF , Scania 92 na 93 series ndio zilikuwa zimeanza anza
Scania 93 series 220, 250 -280 ndio ilikuwa msako mkali...!
Mabasi ndio km
Matema Beach Sleeping Coach..
Upete Television Coach
Tawaqal Coach
Hood Transport..
Safina
Embakasi
Mwanahapa (M Sleeping Coach) etc
Yaani ilikuwa ni kutunishiana msuli kweli kweli...
Yaani ilikuwa full burudani...


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom