Sauli Luxury Bus njia ya Mbeya naona ndio mfalme mpya Newforce hoi

Mwenye contact zao anisaidie. Natafuta kazi ya ukonda kwenye mabasi ya mikoani.!
 
Siku yakitokea maafa tusije kusema ni kazi ya Mungu

Jr
Chief kwa hivi vispeed vya sasa hivi kusifia eti gari la abiria imefika Mbeya la kwanza ni upimbi tu. Mida ya nyuma miaka ya mwishoni mwa 1990, ndio ilikuwa unapanda basi kwa kucheki vigezo vya speed, sa hivi matochi na ving'amuzi kila kona magari yanafika almost muda mmoja.
Enzi zile upo Iyunga Tech uwanjani unasubiri gari itakayoanza kupita barabarani kuelekea Tunduma na saa nane unusu Masia au Tawaqal inakatiza shaa!!

Sent using Smartika kitochi
 
Kamanda wa Usalama Barabarani Taifa angalia hii kitu,

Leo wanashangilia ligi na kufika 88 Mbeya saa moja,

Kesho ni kilio na lawama kwa Askari wa Usalama Barabarani.

KAMA NI KWELI, JE, SHERIA ZINAFUATWA?
We husafiri kinachokuwasha ni nini?acha roho za kichawi na chuki
 
Happy Nation walijaribu hiyo ligi ya kuwahi kufika mbeya ama dar naona walishasarenda.
 
Tokea nmeanza kusafir dar mbeya cjawah panda gar inakimbia kam happy nation scania saut ya mankaa..ila kimsng gar zote mby n machine..inategemea na dereva..anavocapitalize matkio.
Mm kwa miak miwl hii kusafir n alsaidy..na new force tdm...kna kchws kinaitwa jaja ..n sheedaa na nusu ..saul anawazid wenzake kweny madereva na ujanja barabaran...rungwe and scania.gemilang ila anaimgia saa 3...ko gar n derevaa wakuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bilaa sharia kal mabas yangekua anaimgia mby saa 10.mm nshawah fika vwawa na hood kpind hcho saa 11.20.jion...ko wazee ukiona mt kawah kufika n either ana dereva mzur au kavunja sn sheria njiaan

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom