Sauli kaua elf zake lakini Daudi kaua elf kumi zake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sauli kaua elf zake lakini Daudi kaua elf kumi zake

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Eliphaz the Temanite, Jan 26, 2011.

 1. Eliphaz the Temanite

  Eliphaz the Temanite JF-Expert Member

  #1
  Jan 26, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 2,836
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Hivi umewahi kukaa chini ukafikria ni wapi JK anatupeleka? Miaka 5 iliyopita ni virtually hakuna kitu alichokifanya. Alichotuletea ni ma dowans, richmond na nk. Uadilifu na uzalendo unazidi kupungua! Uhujumu wa mali za umma unazidi kukua tena kwa kasi ya ajabu.

  Nothing significant has been done! Mkapa alituibia sana lakini angalau alikuwa na vision! Masuala kama Economic zone pale external, mtwara corridor na uwanja wa soka na kasi ya ujenzi miundo mbinu, nidhamu katika mali ya umma ni mambo ambayo angalau yalitiliwa mkazo!

  Miaka 5 iliyopita tumepotea kwenye ramani, hakuna mtu anamwamini mtanzania! Tuna kuwa characterized kama warasimu, wezi, walaghai. Madeni yakuwepo tangu wakati wa Nyerere leo hii tunataka kujiita waungwana eti kwa kutaka kulipa deni la dowan, malimbikizo ya waaalimu je? wazee wa afrika mashariki je? mnawapiga virungu mpaka wanakufa! Uungwana katika hayo uko wapi? After all CCM ni nani wa kutuambia kulipa au kutolipa?

  Wenzetu wanajenga Nchi yao sisi tunakumbatia mafisadi! Kenya wanajenga uwanja wa Ndege eneo la taita KIA inakufa! Taifa tutapoteza mara mia! Hakuna mtalii atashukia KIA hakuna maua yatapitia KIA. Uwanja mnaukodisha kwa mwekezaji anayelipa $1000 kwa mwezi unategemea itatolewa huduma ya kuaminika

  Wenzetu wanajenga flyovers sisi tunakarabati kipande cha km 10 kwa miaka 5. Tunaye kiongozi kweli? Mwenye uchungu na rasilimali za nchi hii?

  JUA NA MVUA BORA NINI?
   
 2. m

  mwananchit Senior Member

  #2
  Jan 26, 2011
  Joined: Oct 13, 2008
  Messages: 144
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Hapa tutegemee neema na rehema za Mwenyezi Mungu vinginevyo Taifa letu linazidi kuangamia kama tutaendelea kuweka tumaini letu kwa JK ambaye amedhihirisha kutokuwa na hata chembe ya uzalendo achilia mbali mapenzi mema kwa nchi hii.
   
 3. Chipukizi

  Chipukizi JF-Expert Member

  #3
  Jan 26, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 1,970
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  At this time only God mercy will save Tanzania.Ni Muujiza tu na sio vinginevyo
   
 4. meddie

  meddie JF-Expert Member

  #4
  Jan 26, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 413
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Nimeongezea kidogo aliyofanya!
   
 5. k

  kijiichake JF-Expert Member

  #5
  Jan 27, 2011
  Joined: Oct 13, 2010
  Messages: 285
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Sisi kenya tunajenga uwanja wa ndege wa kimataifa taveta mpakani na tanzania karibu na kata ya holili kilomita nne toka lake jipe, tz hamuwezi jenga viwanja vya ndege coz hata ndege zenu hazijazidi tatu, mtajengaje maboma ya wanjama wakati hata mifugo yenyewe hamna mtafuga huko mafisadi? Ndo najivunia kuwa mkenya kenyata alituambiaga ukiba inje ulete kenya hakuna kesi, but ukiiba kenya ukapeleka inje utafia korokoroni au kunyongwa.
   
 6. Eliphaz the Temanite

  Eliphaz the Temanite JF-Expert Member

  #6
  Jan 27, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 2,836
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Despite of these short comings I'm still a proud Tanzania. We stand a better chance of doing better than any country in EA only if we can stand firm to fight these false vision less regimes. The destiny of a better Tanzania is in our hand!
   
Loading...