Saudia inaitaka Ujerumani kuendelea kuwauzia silaha

Nchi zote wauzaji wa silaha wanakuwa na mkataba wa kuzuia reverse engineering ya silaha hizo. Na mikataba inahusu package nzima ya marekebisho, modernization na spare parts. Na mpaka training uhusika inategemeana na package ya mkataba. China alireverse Su-35 fighter jet za Urusi na kutengeneza J-15 zake wakakosana baadae Urusi akakataa kumuuzia modern jet nyingine. Hawa ni marafiki wakubwa, sembuse Marekani na Saudi Arabia.
Baba yao kabaki mmoja tu Iran anakopy tu.. utake usitake either za Korea, US , na Russia.. makombora Kama njugu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Silaha nyingi zinazopatikana Middle East sio direct from the source. Wanakwepa kukamatwa na kuonekana nani katengeneza kama ilivotokea kwa silaha za Iran kwenda kwa Houthi wiki jana.
Mfano wanachofanya U.S na hawa Saudi Arabia wananunua silaha kutoka iliyokuwa Yugoslavia maana kule kuna lundo la silaha. Sera za nchi hiyo ilikuwa ni kuamini muda wowote USSR atawavamia hivo wakawa wana maghala makubwa sana ya silaha kila kona ya nchi kwamba nchi ikivamia silaha zote zinafunguliwa kila mwanaume anayejua kutembea anaingia uwanja wa mapambano. Ndo maana NATO ilipata taabu sana ilipoingia nao vitani hasa upande wa Serbia.
Kule Libya vilevile kuna silaha zinazunguka kutoka uku kwenda uku. Zikikamatwa silaha na jeshi la Syria utaambiwa na mainstream media kuwa magaidi waliimport kutoka Libya.
Nimeelewa sawa sawa kabisa.
 
Technolojia ya silaha sio kitu kidogo ndugu mpaka jeshi likubali kutumia silaha uliyotengeneza basi lazima uwe umefanya kazi ya maana.wachina pamoja na ku advance kote kwenye Technolojia lakini bado wananunua silaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Saudia in wazembe kwenye elimu!! Kama huna wataalamu making hata upewe hela huwezi Fanya chochote maana tech ya silaha inajitaji elimu na utaalam wa hali ya juu!!

Iran ana elimu ya kutosha na wataalam waliobobea wanachohitaji sasa ni bajet ya kutosha tuu
 
Sema ni vile kuna uaminifu kwenye kuuziana silaha, kwa sababu nchi inayouza ikiuza feki inachafuliwa sifa na faini za kutosha.

Ingekuwa sio hivo unawauzia baadhi ya batches zilizo fail au hazifanyi kazi. Watunguliwe mpaka akili ziwakae sawa.
Hata hivyo naskia silaha kwaa jili ya mauzo Huwa so original version.. eg naskia Saudis Abram tank ziko too in effective ukilinganisha na Abrams tanks za US..
Ni Mara nyingi hufumuliwa kwa ATGM za wahouth

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata hivyo naskia silaha kwaa jili ya mauzo Huwa so original version.. eg naskia Saudis Abram tank ziko too in effective ukilinganisha na Abrams tanks za US..
Ni Mara nyingi hufumuliwa kwa ATGM za wahouth

Sent using Jamii Forums mobile app
U.S za kwao ziko modernized tofauti na batch waliyonunua Wasaudi mwanzoni. Nchi chache sana zinanunua silaha then zinamodernize kabla mda aujapita zaidi. Abrams zilizotengenezwa 1980,1990,2002 si sawa na za mwaka huu. Tena wamefanya a very heavy modernization maana U.S hawana mpango wa kuwa na type mpya ya vifaru in near future.
 
Saud Arabia wanazalisha silaha. Ila ukizingatia Saud is the 3rd biggest spender on military in the world, they can't produce much themselves inabidi waagize.

Hiyo inawafanya wawe Germany's 2nd-best weapons customer. Kuna swali lingine Proved?
Kwa kifupi ni kama sisi na sukari au chunvi tunazalisha lkn ya inje ipo
 
Back
Top Bottom