Saudi wamechinja ndani ya Ubalozi na Polisi wa dunia kajitenga.Jiulize kwanini?

Umeandika

Mimi sijaona shida wakatoliki kuleta vimedali vya bikira Maria vilivyolenga kuidedicate nchi katika maombi yao.Nachotaka kujua walioleta ni serikali au kanisa?Na kama kodi ya serikali ilitumika kuingiza hizo medalion.Impact yake kwa nchi ya Tanzania ilikuwa nini?

Majibu

Wewe katu huwezi kuona shida kwani ni kanisa lako

Umeandika

Kuhusu George kahama kupewa cheo na kanisa sijui atakuwa alipewa cheo gani manake walei wana daraja zao tofauti na wakreli.Hilo linatia shaka kidogo labda unifafanulie.Lakini ikumbukwe PhD ya kwanza ya heshima ya rais Kikwete ilitoka Vatican sasa sijui naye alieneza Ukristu?

Majibu

Unajifanya kipofu ?? soma tena nilichokuandikia

Umeandika

Kutoa matangazo hayo kwa KKKT ni utaratibu wa wakristu wa kufanya dedication na kumuomba mwenyezi Mungu ili lile teso kuu lililofanyika msalabani liendelee kuifanya nchi kuwa na amani.Sidhani kama waislam mgesema kuwa nchi iko chini ya Jihad ingeleta shida.

Majibu

Ndivyo katiba ya nchi inavyosema??

Umeandika

Kuhusu ukumbi wa bunge bakwata wamefanyia humo juzi juzi na hakuna aliyelalamika kwa hiyo there's no big deal kwa sababu impact yake kwa utengamano wetu kama watanzania ni negligible

Majibu

Bakwata si ya waislamu iliundwa na Serikali

Umeandika

Papa ni kiongozi wa taifa au serikali ya Vatican kwa hiyo akifa ni haki bendera ishushwe kwa sababu ana representatives na ubalozi wake hapa Tanzania pia ni kiongozi wa kiroho wa wakatoliki wa Tanzania.Unafikiri kwa nn Ahmedinejad na yule kiongoz wa kiislam Iran walikwenda kumzika John Paul wa II vatican?

Majibu

Wacha kudanganya hakuna kiongozi wa kiislamu wa Iran aliyemzika popo, wacha uongo

Umeandika

Kuhusu hilo gazeti sijui vizuri ndg yangu nifafanulie na mm nitafute sources zingine.

Majibu

Tafuta hilo gazeti kwenye ofisi yao waandikie

Umeandika

Ila kanisa katoliki lina mechanism au modus operandi yake ambapo mambo huanza kupangwa kuanzia nyumba kumi kumi hadi juu kabisa kwa maana ya organization structure iliyoshirikishi na iliyoshiba kabisa.Kanisa haliihitaji serikali kufanya mambo yake.

Limesheheni wasomi katika kada zote unazozifahamu duniani.Linatawala dunia kupitia mifumo liliyoijenga for over the years.Halimuhitaji Nyerere,Magufuli au Mkapa na ndo maana linakemea mambo yanapokuwa hayaendi sawa nchini.Kwa ujumla hii ni habari ambayo sidhani kama unapenda kuisikia ila kanisa linaaamua nini kifanyike duniani na inakuwa hivyo.Kwa karne nyingi sana kanisa limewekeza katika elimu ya watu wake na hii inalisaidia kutawala

Majibu

Hivi ni vita virefu dhidi ya uislamu na unaelewa

.

Umeandika

Mimi sijaona shida wakatoliki kuleta vimedali vya bikira Maria vilivyolenga kuidedicate nchi katika maombi yao.Nachotaka kujua walioleta ni serikali au kanisa?Na kama kodi ya serikali ilitumika kuingiza hizo medalion.Impact yake kwa nchi ya Tanzania ilikuwa nini?

Majibu

Wewe hukatu huwezi kuona shida kwani ni kanisa lako

Umeandika

Kuhusu George kahama kupewa cheo na kanisa sijui atakuwa alipewa cheo gani manake walei wana daraja zao tofauti na wakreli.Hilo linatia shaka kidogo labda unifafanulie.Lakini ikumbukwe PhD ya kwanza ya heshima ya rais Kikwete ilitoka Vatican sasa sijui naye alieneza Ukristu?

Umeandika

Kutoa matangazo hayo kwa KKKT ni utaratibu wa wakristu wa kufanya dedication na kumuomba mwenyezi Mungu ili lile teso kuu lililofanyika msalabani liendelee kuifanya nchi kuwa na amani.Sidhani kama waislam mgesema kuwa nchi iko chini ya Jihad ingeleta shida.

Majibu

Ndivyo katiba ya nchi inavyosema??

Umeandika

Kuhusu ukumbi wa bunge bakwata wamefanyia humo juzi juzi na hakuna aliyelalamika kwa hiyo there's no big deal kwa sababu impact yake kwa utengamano wetu kama watanzania ni negligible

Majibu

Bakwata si ya waislamu iliundwa na Serikali , haikuundwa na waislamu

Umeandika

Papa ni kiongozi wa taifa au serikali ya Vatican kwa hiyo akifa ni haki bendera ishushwe kwa sababu ana representatives na ubalozi wake hapa Tanzania pia ni kiongozi wa kiroho wa wakatoliki wa Tanzania.Unafikiri kwa nn Ahmedinejad na yule kiongoz wa kiislam Iran walikwenda kumzika John Paul wa II vatican?

Majibu

Wacha kudanganya hakuna kiongozi wa kiislamu wa Iran aliyemzika popo, wacha uongo

Umeandika

Kuhusu hilo gazeti sijui vizuri ndg yangu nifafanulie na mm nitafute sources zingine.

Tafuta hilo gazeti kwenye ofisi yao waandikie

Umeandika

Ila kanisa katoliki lina mechanism au modus operandi yake ambapo mambo huanza kupangwa kuanzia nyumba kumi kumi hadi juu kabisa kwa maana ya organization structure iliyoshirikishi na iliyoshiba kabisa.Kanisa haliihitaji serikali kufanya mambo yake.

Limesheheni wasomi katika kada zote unazozifahamu duniani.Linatawala dunia kupitia mifumo liliyoijenga for over the years.Halimuhitaji Nyerere,Magufuli au Mkapa na ndo maana linakemea mambo yanapokuwa hayaendi sawa nchini.Kwa ujumla hii ni habari ambayo sidhani kama unapenda kuisikia ila kanisa linaaamua nini kifanyike duniani na inakuwa hivyo.Kwa karne nyingi sana kanisa limewekeza katika elimu ya watu wake na hii inalisaidia kutawala

Majibu

Hivi ni vita virefu dhidi ya uislamu na unaelewa
 
Aliyeunda Bakwata ndiye aliyeunda CCT na ndiye aliyeunda TEC yote haya ni mabaraza ya kusimamia mambo ya kiimani kwa dini zote nchini.Sheria yao ni moja.Wewe ulitaka nani aunde Bakwata?

Na ndiye aliyeunda Kanisa katoliki
 
Wacha uzushi ndugu yangu.Bakwata ni chombo kilichoundwa kwa sheria ileile iliyounda baraza la maaskofu katoliki Tanzania na Balaza la wakristu Tanzania kwa maana ya CCT
Swali la kujiuliza ni kwa nini TEC na CCT vinafanya mambo yake kwa weledi na yanaonekana?Ukifanya utafiti unakuja gundua kuwa Bakwata is a bunch of vichwa maji hata hawana strategic plan kwa maana ya kwamba hawako instutionalized na hawana mission au vision.
Kwa uongozi wa namna hii lazima tu mtamtafuta mchawi na mtu wa kulaumu.Ni vyema sasa wale wazee wakastep down na kuruhusu damu changa na iliyo na elimu ikastep in na kufanya transformation kwa maendeleo endelevu ya waislam kimwili na kiroho na kuacha utegemezi wa misaada

Alhaj Aboud Jumbe, Rais mstaafu wa Zanzibar, ametoa hoja kuonyesha kuwa Waislamu hawatendewi haki na kwamba Kanisa Katoliki limepewa fursa ya pekee nchini.

Sehemu katika kitabu chake inasema:

MTIRIRIKO wa matukio ya kisiasa unaashiria agenda ya siri ambayo inaelekezwa kutumikia Kanisa Katoliki ambalo siku zote linakuwa na uhusiano wa karibu na serikali (hii) yenye kujenga mtizamo wa Kikristo ya Jamhuri ya Muungano na huku Waislamu wakihasirika.

USHAHIDI uliopo unaonesha kuwa Waislamu wa Tanzania Bara wamekuwa na uonevu ulioendelea na kukoseshwa haki zao za msingi pamoja na kuwa katiba ya mwaka 1977 ilikuwa na vipengele vya kuhakikisha haki za binadamu na usawa kwa raia wote.

Ushahidi wa ziada unaonesha Kanisa nchini Tanzania ndilo linatowa maelekezo ya kisiasa na mfumo wa kisiasa umekuwa ukitumiwa kutoa upendeleo kwa Wakristo ambao tayari wamo katika kudhibiti nafasi mbalimbali katika asasi za umma.

Kama tukichukulia maendeleo ya hali ya kisiasa nchini hivi sasa kuhusiana na Muungano nina hakika ya kuwa na shaka kuwa utaratibu mzima wa kuwabana Waislamu wa Tanzania Bara unaendeshwa kwa mbinu za mchwa sambamba na ule wa kuikaba Zanzibar ili kuilazimisha kuingia katika mpango wa muda mrefu wa kuiingiza katika serikali moja ili kuhakikisha Waislamu kutoka pande zote mbili za Bahari ya Hindi hapa Tanzania wanasujudu kwa Bwana mmoja.

Sura hii inataftishi suala la dini na siasa katika Jamhuri ya Muungano. Mada hii huenda ikawaudhi baadhi ya watu. Lakini siku zote ukweli hauwafurahishi wale ambao hawapendi ujulikane kwa sababu zinazoeleweka ambazo ni za kuchukiza za kibinafsi na zenye makusudio maovu.

Tangu nusu ya pili ya mwaka 1993 mashambulizi mbalimbali yasiyo na msingi yamekuwa yakielekezwa na kuongezewa nguvu dhidi ya Waislamu maalum, lakini pia kwa Uislamu kwa jumla.

Mashambulizi ya awali yaliyofanywa na mtu binafsi, vikundi vya watu, vyombo vya dola na mwisho vyombo vya habari yalielekezwa kwa serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa kujiunga na Jumuiya ya Mkutano wa Kiislamu (OIC).

Hii ilikuwa ni rasharasha tu ya mabomu kabla ya matusi hasa hayajafuatia baadae. Katika muda huo huo lilipitikana jaribio lililoshindwa ambapo uvumi usio na msingi ulienezwa kuwa serikali ya Jamhuri ya Muungano ilitaka kujiunga na Jumuiya nyingine ya Kiislamu inayoitwa Islam in Africa Organization (IAO), hili likitowa mwanga, mashambulizi haya yalipangwa kulenga shabaha gani. Na ilikuwa wazi kuwa waliojikita katika majadiliano hayo hawakuelekeza mabishano yao nje ya Uislamu na Waislamu.

Kwa mfano, kuwepo kwa ubalozi wa Vatican nchini Tanzania hakukupata kuhojiwa pamoja na kuwa serikali hii inadai kuwa si ya kidini. Kanisa, CCM na serikali vyote vimekaa kimya huku vikijua kutendeka kwa hilo lakini vikizibwa mdomo.

Kana kwamba hiyo haikutosha kuonesha kuwa kuna mlalio dhidi ya upande mmoja, kulifuatia jaribio la kumng'oa Rais Mwinyi kupitia taratibu za Bunge, kudai kufukuzwa Rais wa Zanzibar Dk. Salmin Amour na baadhi ya Mawaziri wake na kelele za kuwataka mawaziri Waislamu katika Jamhuri ya Muugano wajiuzulu kwa kutaka kusilimisha Tanzania, inaonesha malengo ya mashambulizi hayo.

Mkakati ukaandaliwa ambao ulitakiwa kuonesha kuwepo "kwa hila za Kiislamu" ili kujenga hoja ya kuwasaka Waislamu ambao walionekana kuwa kero isiyostahimilika. Fursa ilipopatikana basi ikatumiwa haraka. Uchokozi mbalimbali dhidi ya Waislamu ambao mwengine haukuripotiwa ukaanza kuzua hisia tofauti za wakandamizaji na wakandamizwaji kufuatia na ukamataji mkubwa na kesi katika mahakama ambazo baadhi yake zimekuwa zikiendelea kwa muda mrefu.

Matukio haya yamedhihirika kwa Waislamu wengi kuwa kumekuwa na hatua za makusudi kuchanganya siasa na dini katika mambo ya serikali.

Kinyume na kampeni inayosambazwa, Waislamu sio chanzo ila wao ni waathiriwa wa mbinu za makusudi za kujenga mfumo wa uhasama ambao unazinyonya dini zote mbili na siasa ili kuwabana Waislamu na pia kupata uwezo wa kuwakandamiza.

Dhana ya kutenganisha dini na siasa katika wakati huu ilianzishwa na baadhi ya nchi za Magharibi ili kuanzisha taifa lisilo na dini ili kuepuka uingiliaji wa Kanisa ambao wakati huo ulikuwa ni mkubwa.

Awali kitendo kama hicho kilionekana kama ni cha upinzani juu ya mamlaka ya Papa ambae alikuwa ameigawa dunia, upande wa magharibi ukiwa kwa Uhispania iliyokuwa na nguvu na upande wa mashariki kwa Ureno ambayo pia ilikuwa na nguvu na kuyaacha mataifa makubwa ya Ulaya yakiwa yanakosa pahala pa kushika katika zama hizo.

Utaifa mpya katika bara la Ulaya ulipingana na Papa na kundi lake kwa kuanza kuvamia maeneo yaliyokuwa chini ya Uhispania na Ureno. Sio tu walianza kujitangazia mamlaka zao huru, lakini pia walianza kujikatia maeneo mapya nje na ndani ya Ulaya.

Baada ya kufanikiwa kuunda mataifa yao walianzisha pia Makanisa yao ambayo yalikuwa na lengo moja la kukuza dini. Kidogo kidogo mataifa haya "yasiyokuwa na dini" yalianza kupeleka baadhi ya madaraka kwa wafalme, malkia na wabunge.

Wakati ambapo kuna mgawanyo unaoeleweka na ulio wazi baina ya mamlaka ya kiroho na kiserikali kwa upande wa dola na Kanisa, taasisi mbili hizo hazijaweza kusita kuingilia mambo ya kidini, kiuchumi na kisiasa katika nchi zinazoendelea na kusababisha hali ya kutoelewana, kutoaminiana, kukosekana kwa utulivu na pia kusababisha fujo wakati wa utekelezaji wa mipango yao ya kihaini.

Hili hutokea zaidi pale kunapokuwa na idadi kubwa ya Waislamu na Wakristo wanapoishi pamoja. Tunaushahidi wa kutosha na usiopingika juu ya jambo hili kwa Tanzania.

Upitizi wa makini wa kitabu "Kanisa Katoliki na siasa Tanzania Bara 1953-1985" unatoa habari za ndani zisizo za kawaida juu ya kampeni dhidi ya Uislamu.

Kwa maneno mengine kitabu hicho kwa kiasi fulani ni kukiri kwa yeye mwenyewe mwandishi juu ya shughuli za Kanisa la Katoliki za kisiasa Tanzania, Kanisa ambalo haliwezi kutenganishwa na Vatican na ambalo ubalozi wake ni mmoja katika balozi kongwe nchini Tanzania.

Kwa sababu zisizoeleweka kitabu hiki kimeandikwa na kuchapishwa na waumini wa Kanisa hilo. Yaliyomo ndani ya kitabu hicho hayajakanushwa wala kubishiwa na serikali ya Muungano ya Tanganyika au CCM, huu ukiwa ni ushahidi kamili juu ya ukweli wa kukiri juu ya neno hilo.

Kwa sababu na malengo yoyote ya kutolewa kitabu hicho , na lazima ziwepo sababu za msingi za kufanya hivyo, kitabu hiki ni ufunuo mzuri juu ya mbinu za chini kwa chini za Kanisa katika medani ya kisiasa Tanzania.

Kitabu kinaeleza ni Kanisa Katoliki lililojenga njia ambazo ziliwawezesha kuwa na mahusiano ambayo kitabu hicho inaeleza yalikuwa ya karibu kabisa na TANU wakati wa miaka ya kupigania uhuru. Kinaonesha ni vipi Kanisa lilitayarisha waumini wake shupavu ambao walikuwa wameshika karibu nafasi zote muhimu katika serikali mpya ya Kiafrika ya Tanganyika.

Kinaeleza ni vipi serikali ya Jamhuri ya Muungano ilirithi mfumo huo, na kuupanua kuingia katika mamlaka ya Muungano na pia katika mambo yahusuyo Tanganyika. Na hapa tunaweza kupata mwanga juu ya maana na ulazimishaji wa kuwepo serikali mbili badala ya tatu kwa njia zilizogubikwa kama ilivyobainishwa na mkataba wa Muungano (mapatano ya Muungano) na katiba zote zilizopitishwa Tanzania.

Hapa ndipo unapoona kuna neno katika kudai kusimamishwa mfumo wa serikali moja. Nguvu hizo zikapenya zaidi kupelekea Muungano wa ASP na TANU ambapo CCM iliendeleza kazi za TANU kuhusiana na ushirikiano wa karibu na Kanisa Katoliki.

Kwa wale viongozi, wawe wa Kanisa, CCM au serikali ya Muungano ambao walikuwa wakijipigia kelele kutenganisha kwa siasa na dini, lakini wao wenyewe wakiwa ndio waendelezaji wakubwa wa hilo, wana kazi ngumu ya kuelezea kwa umma kwa ujumla lakini zaidi kwa Waislamu. Sivalon anaelezea juu ya mpango na njama zinazoendelea zikishirikisha Kanisa Katoliki, Chama (TANU-CCM) na serikali ya Muungano.

Tangu njama hizo ziwekwe wazi 1992 hapakuwa na kauli moja ya kupinga au kutolea maelezo juu ya hilo. Huku ni kukiri kwa dhahiri juu ya mipango na njama za Kanisa zinazofanywa hali zikiwa zinaeleweka na mkono wa chama na serikali yake.

Yafuatayo ni baadhi ya madondoo kutoka kitabu hicho:

"Mwishowe tutakuja kuonesha jinsi Rais mstaafu Nyerere alivyokuja kuwa kiungo cha pekee kati ya chama/kanisa na Kanisa Katoliki. Uhusiano huo unaelezwa kwanza kama msingi wa kuelewa jinsi gani na kwa kiasi gani viongozi wa Kanisa walivyoingilia kati maendeleo ya siasa hapa Tanzania (uk. 5).

Huo uhusiano ukawaweka viongozi wa Kanisa katika nafasi nzuri ya kuelekeza maelekezo ya siasa Tanzania. (uk. 9).
 
Na ndiye aliyeunda Kanisa katoliki
Hahahahahahahaha ngoja nifurahi mie.Kanisa katoliki limeundwa na Yesu Kristu mwenyewe.Sasa sijui Yesu Kristu ndiye aliyeunda Bakwata?Nadhani ulimaanisha Baraza la maaskofu Katoliki Tanzania kwa kimombo Tanzania Episcopal Council haya yote ni mabaraza yaliyoundwa kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi hii.Wewe ulitakaje?
 
Huo utawala wa kifalme ipo siku watayakuta na hyo familia ya kifalme itakutana nayo zaidi ya kashogi

Ova
Ngoja naye atumike kazi yake ikiisha tu yanamrudia hayo hayo, lini wale mabwana wakawa na rafiki wa kudumu!
 
Hujanionesha uhusiano wa Bakwata na serikali,kuhusu kanisa kumtumia Mwl.Nyerere hizo ni hisia na chuki za wazi wazi kwa sababu Mwl.alipigania sana maslahi ya Watanzania bila kujali dini zao.Na ni kwa nn wale walioaffiliated na Bakwata ndio walalamike wengine kama CCT wasililalamikie kanisa katoliki?
Haya ikajitokeza fursa ya Mwinyi na Jk kama marais waislamu.Walishindwaje kuibadili Bakwata iendane na mfumo unaokubalika na waislamu wengine wengi?kuna dhambi katika kufanya hilo?au wao siyo waislamu kamili hadi kuendelea kutumia Bakwata kama framework ya waislamu Tanzania.
Haya yote unayaongea ni kutaka kujustify dhana iliyojengeka kwa muda mrefu kwamba Wakatoliki ni adui wa waislamu na wanawakandamiza waislamu.
Nataka nikupe mfano mdogo tu mtanzania mwenzangu katika maendeleo.Matajiri wakubwa Tanzania ni waislamu,Wafanyabiashara wakubwa Tanzania ni waislamu lakini si mikoani wala Dsm ambako masheikh wa mikoa wanamiliki angalau double cabin ya kufacilitate shughuli za kiroho kwa maana ya kutembelea wagonjwa na shughuli nyinginezo zilizochangiwa na waislamu au Bakwata.Unafikiri kwa nini bado waislamu wanaendelea kulalamika?Ni kwa sababu adui wa waislamu si kanisa katoliki bali Waislamu wenye madaraka wabinafsi,Viongozi wa dini wasio na elimu na ubunifu wa kumkomboa muislamu,waislamu wavivu na waislamu wajinga.
Huo ni mtazamo wangu tuendelee kuelimishana.
 
Tatizo lako hata kuandika kiswahili tena cha kawaida tu umeshindwa.....sasa hata hayo mambo ya unayotaka kueleza si yanalawiti akili yako tu?

Kwani ukikaa kimya unapata shida gani?
So sad......!
 
Hujanionesha uhusiano wa Bakwata na serikali,kuhusu kanisa kumtumia Mwl.Nyerere hizo ni hisia na chuki za wazi wazi kwa sababu Mwl.alipigania sana maslahi ya Watanzania bila kujali dini zao.Na ni kwa nn wale walioaffiliated na Bakwata ndio walalamike wengine kama CCT wasililalamikie kanisa katoliki?
Haya ikajitokeza fursa ya Mwinyi na Jk kama marais waislamu.Walishindwaje kuibadili Bakwata iendane na mfumo unaokubalika na waislamu wengine wengi?kuna dhambi katika kufanya hilo?au wao siyo waislamu kamili hadi kuendelea kutumia Bakwata kama framework ya waislamu Tanzania.
Haya yote unayaongea ni kutaka kujustify dhana iliyojengeka kwa muda mrefu kwamba Wakatoliki ni adui wa waislamu na wanawakandamiza waislamu.
Nataka nikupe mfano mdogo tu mtanzania mwenzangu katika maendeleo.Matajiri wakubwa Tanzania ni waislamu,Wafanyabiashara wakubwa Tanzania ni waislamu lakini si mikoani wala Dsm ambako masheikh wa mikoa wanamiliki angalau double cabin ya kufacilitate shughuli za kiroho kwa maana ya kutembelea wagonjwa na shughuli nyinginezo zilizochangiwa na waislamu au Bakwata.Unafikiri kwa nini bado waislamu wanaendelea kulalamika?Ni kwa sababu adui wa waislamu si kanisa katoliki bali Waislamu wenye madaraka wabinafsi,Viongozi wa dini wasio na elimu na ubunifu wa kumkomboa muislamu,waislamu wavivu na waislamu wajinga.
Huo ni mtazamo wangu tuendelee kuelimishana.

Sidhani kama hata ulimsoma vizuri Marehemu Jumbe nini aliandika , punguza jaziba na umsome vizuriiiiiiiii

Alhaj Aboud Jumbe, Rais mstaafu wa Zanzibar, ametoa hoja kuonyesha kuwa Waislamu hawatendewi haki na kwamba Kanisa Katoliki limepewa fursa ya pekee nchini.

Sehemu katika kitabu chake inasema:

MTIRIRIKO wa matukio ya kisiasa unaashiria agenda ya siri ambayo inaelekezwa kutumikia Kanisa Katoliki ambalo siku zote linakuwa na uhusiano wa karibu na serikali (hii) yenye kujenga mtizamo wa Kikristo ya Jamhuri ya Muungano na huku Waislamu wakihasirika.

USHAHIDI uliopo unaonesha kuwa Waislamu wa Tanzania Bara wamekuwa na uonevu ulioendelea na kukoseshwa haki zao za msingi pamoja na kuwa katiba ya mwaka 1977 ilikuwa na vipengele vya kuhakikisha haki za binadamu na usawa kwa raia wote.

Ushahidi wa ziada unaonesha Kanisa nchini Tanzania ndilo linatowa maelekezo ya kisiasa na mfumo wa kisiasa umekuwa ukitumiwa kutoa upendeleo kwa Wakristo ambao tayari wamo katika kudhibiti nafasi mbalimbali katika asasi za umma.

Kama tukichukulia maendeleo ya hali ya kisiasa nchini hivi sasa kuhusiana na Muungano nina hakika ya kuwa na shaka kuwa utaratibu mzima wa kuwabana Waislamu wa Tanzania Bara unaendeshwa kwa mbinu za mchwa sambamba na ule wa kuikaba Zanzibar ili kuilazimisha kuingia katika mpango wa muda mrefu wa kuiingiza katika serikali moja ili kuhakikisha Waislamu kutoka pande zote mbili za Bahari ya Hindi hapa Tanzania wanasujudu kwa Bwana mmoja.

Sura hii inataftishi suala la dini na siasa katika Jamhuri ya Muungano. Mada hii huenda ikawaudhi baadhi ya watu. Lakini siku zote ukweli hauwafurahishi wale ambao hawapendi ujulikane kwa sababu zinazoeleweka ambazo ni za kuchukiza za kibinafsi na zenye makusudio maovu.

Tangu nusu ya pili ya mwaka 1993 mashambulizi mbalimbali yasiyo na msingi yamekuwa yakielekezwa na kuongezewa nguvu dhidi ya Waislamu maalum, lakini pia kwa Uislamu kwa jumla.

Mashambulizi ya awali yaliyofanywa na mtu binafsi, vikundi vya watu, vyombo vya dola na mwisho vyombo vya habari yalielekezwa kwa serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa kujiunga na Jumuiya ya Mkutano wa Kiislamu (OIC).

Hii ilikuwa ni rasharasha tu ya mabomu kabla ya matusi hasa hayajafuatia baadae. Katika muda huo huo lilipitikana jaribio lililoshindwa ambapo uvumi usio na msingi ulienezwa kuwa serikali ya Jamhuri ya Muungano ilitaka kujiunga na Jumuiya nyingine ya Kiislamu inayoitwa Islam in Africa Organization (IAO), hili likitowa mwanga, mashambulizi haya yalipangwa kulenga shabaha gani. Na ilikuwa wazi kuwa waliojikita katika majadiliano hayo hawakuelekeza mabishano yao nje ya Uislamu na Waislamu.

Kwa mfano, kuwepo kwa ubalozi wa Vatican nchini Tanzania hakukupata kuhojiwa pamoja na kuwa serikali hii inadai kuwa si ya kidini. Kanisa, CCM na serikali vyote vimekaa kimya huku vikijua kutendeka kwa hilo lakini vikizibwa mdomo.

Kana kwamba hiyo haikutosha kuonesha kuwa kuna mlalio dhidi ya upande mmoja, kulifuatia jaribio la kumng'oa Rais Mwinyi kupitia taratibu za Bunge, kudai kufukuzwa Rais wa Zanzibar Dk. Salmin Amour na baadhi ya Mawaziri wake na kelele za kuwataka mawaziri Waislamu katika Jamhuri ya Muugano wajiuzulu kwa kutaka kusilimisha Tanzania, inaonesha malengo ya mashambulizi hayo.

Mkakati ukaandaliwa ambao ulitakiwa kuonesha kuwepo "kwa hila za Kiislamu" ili kujenga hoja ya kuwasaka Waislamu ambao walionekana kuwa kero isiyostahimilika. Fursa ilipopatikana basi ikatumiwa haraka. Uchokozi mbalimbali dhidi ya Waislamu ambao mwengine haukuripotiwa ukaanza kuzua hisia tofauti za wakandamizaji na wakandamizwaji kufuatia na ukamataji mkubwa na kesi katika mahakama ambazo baadhi yake zimekuwa zikiendelea kwa muda mrefu.

Matukio haya yamedhihirika kwa Waislamu wengi kuwa kumekuwa na hatua za makusudi kuchanganya siasa na dini katika mambo ya serikali.

Kinyume na kampeni inayosambazwa, Waislamu sio chanzo ila wao ni waathiriwa wa mbinu za makusudi za kujenga mfumo wa uhasama ambao unazinyonya dini zote mbili na siasa ili kuwabana Waislamu na pia kupata uwezo wa kuwakandamiza.

Dhana ya kutenganisha dini na siasa katika wakati huu ilianzishwa na baadhi ya nchi za Magharibi ili kuanzisha taifa lisilo na dini ili kuepuka uingiliaji wa Kanisa ambao wakati huo ulikuwa ni mkubwa.

Awali kitendo kama hicho kilionekana kama ni cha upinzani juu ya mamlaka ya Papa ambae alikuwa ameigawa dunia, upande wa magharibi ukiwa kwa Uhispania iliyokuwa na nguvu na upande wa mashariki kwa Ureno ambayo pia ilikuwa na nguvu na kuyaacha mataifa makubwa ya Ulaya yakiwa yanakosa pahala pa kushika katika zama hizo.

Utaifa mpya katika bara la Ulaya ulipingana na Papa na kundi lake kwa kuanza kuvamia maeneo yaliyokuwa chini ya Uhispania na Ureno. Sio tu walianza kujitangazia mamlaka zao huru, lakini pia walianza kujikatia maeneo mapya nje na ndani ya Ulaya.

Baada ya kufanikiwa kuunda mataifa yao walianzisha pia Makanisa yao ambayo yalikuwa na lengo moja la kukuza dini. Kidogo kidogo mataifa haya "yasiyokuwa na dini" yalianza kupeleka baadhi ya madaraka kwa wafalme, malkia na wabunge.

Wakati ambapo kuna mgawanyo unaoeleweka na ulio wazi baina ya mamlaka ya kiroho na kiserikali kwa upande wa dola na Kanisa, taasisi mbili hizo hazijaweza kusita kuingilia mambo ya kidini, kiuchumi na kisiasa katika nchi zinazoendelea na kusababisha hali ya kutoelewana, kutoaminiana, kukosekana kwa utulivu na pia kusababisha fujo wakati wa utekelezaji wa mipango yao ya kihaini.

Hili hutokea zaidi pale kunapokuwa na idadi kubwa ya Waislamu na Wakristo wanapoishi pamoja. Tunaushahidi wa kutosha na usiopingika juu ya jambo hili kwa Tanzania.

Upitizi wa makini wa kitabu "Kanisa Katoliki na siasa Tanzania Bara 1953-1985" unatoa habari za ndani zisizo za kawaida juu ya kampeni dhidi ya Uislamu.

Kwa maneno mengine kitabu hicho kwa kiasi fulani ni kukiri kwa yeye mwenyewe mwandishi juu ya shughuli za Kanisa la Katoliki za kisiasa Tanzania, Kanisa ambalo haliwezi kutenganishwa na Vatican na ambalo ubalozi wake ni mmoja katika balozi kongwe nchini Tanzania.

Kwa sababu zisizoeleweka kitabu hiki kimeandikwa na kuchapishwa na waumini wa Kanisa hilo. Yaliyomo ndani ya kitabu hicho hayajakanushwa wala kubishiwa na serikali ya Muungano ya Tanganyika au CCM, huu ukiwa ni ushahidi kamili juu ya ukweli wa kukiri juu ya neno hilo.

Kwa sababu na malengo yoyote ya kutolewa kitabu hicho , na lazima ziwepo sababu za msingi za kufanya hivyo, kitabu hiki ni ufunuo mzuri juu ya mbinu za chini kwa chini za Kanisa katika medani ya kisiasa Tanzania.

Kitabu kinaeleza ni Kanisa Katoliki lililojenga njia ambazo ziliwawezesha kuwa na mahusiano ambayo kitabu hicho inaeleza yalikuwa ya karibu kabisa na TANU wakati wa miaka ya kupigania uhuru. Kinaonesha ni vipi Kanisa lilitayarisha waumini wake shupavu ambao walikuwa wameshika karibu nafasi zote muhimu katika serikali mpya ya Kiafrika ya Tanganyika.

Kinaeleza ni vipi serikali ya Jamhuri ya Muungano ilirithi mfumo huo, na kuupanua kuingia katika mamlaka ya Muungano na pia katika mambo yahusuyo Tanganyika. Na hapa tunaweza kupata mwanga juu ya maana na ulazimishaji wa kuwepo serikali mbili badala ya tatu kwa njia zilizogubikwa kama ilivyobainishwa na mkataba wa Muungano (mapatano ya Muungano) na katiba zote zilizopitishwa Tanzania.

Hapa ndipo unapoona kuna neno katika kudai kusimamishwa mfumo wa serikali moja. Nguvu hizo zikapenya zaidi kupelekea Muungano wa ASP na TANU ambapo CCM iliendeleza kazi za TANU kuhusiana na ushirikiano wa karibu na Kanisa Katoliki.

Kwa wale viongozi, wawe wa Kanisa, CCM au serikali ya Muungano ambao walikuwa wakijipigia kelele kutenganisha kwa siasa na dini, lakini wao wenyewe wakiwa ndio waendelezaji wakubwa wa hilo, wana kazi ngumu ya kuelezea kwa umma kwa ujumla lakini zaidi kwa Waislamu. Sivalon anaelezea juu ya mpango na njama zinazoendelea zikishirikisha Kanisa Katoliki, Chama (TANU-CCM) na serikali ya Muungano.

Tangu njama hizo ziwekwe wazi 1992 hapakuwa na kauli moja ya kupinga au kutolea maelezo juu ya hilo. Huku ni kukiri kwa dhahiri juu ya mipango na njama za Kanisa zinazofanywa hali zikiwa zinaeleweka na mkono wa chama na serikali yake.

Yafuatayo ni baadhi ya madondoo kutoka kitabu hicho:

"Mwishowe tutakuja kuonesha jinsi Rais mstaafu Nyerere alivyokuja kuwa kiungo cha pekee kati ya chama/kanisa na Kanisa Katoliki. Uhusiano huo unaelezwa kwanza kama msingi wa kuelewa jinsi gani na kwa kiasi gani viongozi wa Kanisa walivyoingilia kati maendeleo ya siasa hapa Tanzania (uk. 5).

Huo uhusiano ukawaweka viongozi wa Kanisa katika nafasi nzuri ya kuelekeza maelekezo ya siasa Tanzania. (uk. 9).
 
Mkuu Tumaini
  1. Kwanza sio kila ukosoaji ni usaliti au uhujumu wa Taifa.
  2. Pili sio kila mkosoaji anatumika na mataifa ya nje.
  3. Kuna wakosoaji wazalendo ambao wanatanguliza mbele maslahi ya Taifa.
  4. Wakiona mambo hayaendi jinsi ile mambo yangepaswa kwenda, wanakosoa kwa nia ya kujenga.
  5. Wakosoaji wazalendo, wanafanya ukosoaji inaoitwa " a constructive criticism" ambao pia unashauri the right thing to do.
  6. Wakosoaji wazalendo ndio wanaoisaidia serikali kuliko wasifiaji na waimba nyimbo za kusifu, shangwe na mapambio.
P
Why wamchinje ndani ya ubalozi wao? Pia why police wa dunia anapoteza pamoja na ushahidi wote? Think twice
 
@tumainiel nilichojifunza kwenye hii post yako ni mwandiko wenye makosa makubwa ya kiuandishi, mpangilio wa aya na maneno yasiyoeleweka
Mshana Jr nikweli ila sikutaka kuandika ili uwele sana maana sio wote walio ona walikiri kumuona ila wapo walitaman mpaka kupapasa. Unaweza kupapasa...
 
Duh unaakili sana kaka , yan kama bibi yangu.
Usaliti nikitu kibaya sana Khashogh alifikiri kuwa ndani ya list ya mashirika ya mabwana wakubwa kutamponya na kuwa safe popote alipo. Sio kwamba hakujuwa siku moja atakufa kwa kazi mbaya anaifanya yakuwa msaliti wa taifa lake mwenyewe. Ukweli nikwamba Khashogh hakujuwa USA ndie mlinz wa taifa la Saudia nauwenda hata wao wameshiriki ktk kummaliza baada yakuwa ktk list ya wasaliti na watu hatari wataifa.

Kunakutoa maoni kwa minajili watawala wabadilike ila kunakutoa maoni ili utawala upinduke au ushindwe.

Somo zito lakujifunza nikwawalewana tumika vibaya kuihujumu Tz kwa kisingizio cha kuikosoa serikali. Ukweli nikwamba hata Marekani ambapo ndio baba democ huwez kuona ukosoaji uliopitiliza kama hapa kwetu. Pia wenzetu wanajali sana utaifa tofauti na sisi kuwa makuwadi wa nchi za magharibi.
Yes tunamakuwadi wa nchi za magharibi hapo zamani walikuwa wakipenda kwenda nje kwakisingizio cha ziara za kibunge ila walikuwa wakipeleka taarifa. Ila ile kauli ya mkuu watu kutokutoka nje bila kibali imeibua mengi na Uwenda nidarasa kwa viongoz watakuja baada ya Magufuli.

Usaliti wa taifa wenye sura za upinzani au kukosoa umeliathiri sana taifa nivile mambo ya siri hayawekwi hadharani ila kuna Akina Khashoggi wengi ktk taifa.

Wanatamani taifa ili lianguke watu wachinjane kwa msaada wa gari au hosp kujengewa.
Asante Dr Magufuli.
 
suluhisho pekee kati ya Israel na Palestina ni kuungana na kuwa Nchi moja ikishindikana hilo basi palestina wauze ardhi yao kwa Israel wahamie sehemu nyingine hata waje huku Africa tutawapa mapori waanzishe Nchi mbali na hapo sahau hii vita yao itaendelea maisha yao yote mpaka mwisho wa dunia. umoja wa taifa umeshindwa kuleta amani kwenye hizi Nchi zao kwa makusudu maalumu wanayojua wao.

maisha ya Vita yanawapa akili nyingi Israel kwenye ku develop na kufanyia utafiti siraha kali za kujilinda dhidi ya uvamizi hivyo basi mataifa mengine yana benefit na technolojia mpya ndio maana hakuna anayeingilia. wao wanachota ujuzi hawa kila siku ni kubuni siraha mpya wakati mataifa mengine wakiweka utafiti zaidi kwenye maendeleo. ndio maana kuna watu wanasema US anatengeneza siraha zake na wa Israel ni kweli kbs kutokana na nilichokiandika hapo juu.
 
Viongozi wa Hammas hawawezi kubaki hata kidogo..
Wanaitumia Palestina kupiga hela..
Hali ya Palestina hilivyo kiuchumi but kuna viongozi wao wanamiliki private jet.. Hizo ni hela za misaada. So, ukisema Palestina iungane na israel ni kutaka kukata milija yao jambo ambalo watalipinga kwa nguvu na propaganda kali kama Mohamed Farah Aidid alivyotumia propaganda ya dini kuwashawishi wasomali washike BUNDUKI dhidi ya majeshi ya UN.
 
Back
Top Bottom