Saudi Leaks: Bin Salman anatumia pombe, ni addicted wa dawa za kulevya

Kabisa mkuu,,,watu wanapotea bila kujulikana walipo,
Siku ukikosoa serikali kwa chochote kile ,,basi huna maisha tena ukiwa hai ,,

anakupoteza.

Katengeneza baraza la mashehe wanaotoa fatwa za kunyongwa watu na kufungwa watu. Hao mashehe wote anawateua yeye, Halafu wao ndio watoa hukumu, Ukikera tu unatengenezewa kipengele unakula kitanzi.

Jamaa ana kiburi cha ajabu kabisa. Hizo nchi jirani kwa kweli hazina Amani kabisa akina UAE, Bahrain anazipeleka anavyotaka yeye, Qatar walijaribu kudindisha naona mwisho wameachia.
 
Shida ya bwana yule alikuwa hajui kusoma na kuandika kwahiyo huu ujinga umeenda mpaka kwa waumini. Jambo afanye yeye, amsingizie Marekani.
Ujinga huu wa kumsingizia Marekani kwa kila jambo mtaacha lini?
Kwani yule mnaemfuata nyie alisoma wapi?
 
Mkuu una uhakika huo ukoo tangu uanze kuitawala Saudia una miaka 1000, mbona kama ulianza kutawala tangu 1930's?
 
Mkuu 1920's kilichofanyika ni consolidation ya power throughout Saudia wao ndio wamiliki

Ila miaka 1000 iliyopita walikua ni mojawapo wa ukoo wa Kisultani Saudia among other things

Ila 1920's wakafanikiwa kutawala Saudia yote baada ya ku-depose visultani vingine vyote
Je wajua kabla ya kuwa Saudi Arabia kuna tawala nyingi kama vile Rashiddun, Umayyad, Abbasid, Fatimid zimepita, na je jina la Saudi Arabia limetokana na nani?
 
Katika viukoo vingi vya kisultan vilivyokua vinatawala visehemu mbali mbali vya Saudia,na wao kiukoo chao kilikua ni kimojawapo

Hayo mengine ya jina etc ect naomba u-google..

Thanks
Google sii mwalim wala darasa, hata huko Wikipedia unakokimbilia, tambua ya kwamba yale maandishi wanaandikwa na waandishi kama wewe, hata wewe pia unaweza kuedit.
 
Una discredit wanadamu wenzako waliopoteza muda wao kukuandikia historia za watu hawa kwenye internet,cha ajabu wewe unae discredit hujawahi toa mchango wowote

Sijasema wanaaminika wote,no,kuna wanaosema kweli na wanaosema uongo kwa malengo mbalimbali

Hao unaowaaamini pia huenda wanadanganya vilevile....sijaona wewe huo uhalali wa kuwadiscredit hawa watu uanatoa wapi hasa?

Ungeniambia kuna 50/50 chance kua false or true ningekuelewa...wewe una discredit the whole blogosphere kwamba ni false as if una source very credible sana

Hata kama umekutana na huo ukoo wao binafsi wakakuambia historia yao,vilevile wanaweza kua wanadanganya kuji-project in a good light,au wanaweza wakawa wanasema kweli vile vile

Hakuna alie sahihi au au alie muongo kwa mamlaka yako binafsi unayotumia kutoa hizo judgements!
Ok, let it be 50/50, agree to disagree on that.
 
Sasa huyu kutumia unga na dini wapi na wapi, watu mbona mnakuwa na mawazo finyu..

Sio kila muarabu ndio umuone mchamungu, ostadh saaana..
Na wala sio kila mwenye jina la kiislamu ukaona ndio muislam.. Uislam haupo hivyo..

Msichokijua hawa waarabu ni washenzi na ndio maana mitume ikapelekwa huko, wafundishwe namna ya kuishi..

Sasa hapa kazungumzia mrithibwa kiti cha ufalme tayari unaleta dini, usikute huyo mjuba haswali walau rakaa za faradhi achilia mbali sunna

Aisee! Kwahiyo waarabu wa sasa wote ni washenzi? Au unamaanisha wale enzi za mitume waliokufa wakiwa sio waisilamu?
 
Katengeneza baraza la mashehe wanaotoa fatwa za kunyongwa watu na kufungwa watu. Hao mashehe wote anawateua yeye, Halafu wao ndio watoa hukumu, Ukikera tu unatengenezewa kipengele unakula kitanzi.

Jamaa ana kiburi cha ajabu kabisa. Hizo nchi jirani kwa kweli hazina Amani kabisa akina UAE, Bahrain anazipeleka anavyotaka yeye, Qatar walijaribu kudindisha naona mwisho wameachia.
Saudia ni inchi takatifu,,
Lakini viongozi wake hawana utakatifu wowote.
 
Back
Top Bottom