kiuchumi hapa Russia anapigwa za uso.
kwa nini?
sikia
saudia ni nchi inayozalisha mafuta kwa wingi Duniani
na ndie anaetarajiwa kuwa mrithi wa Russia kwa Ulaya.
ananunua mafuta rusia kwa sababu kuna Dezo kubwa sana kiasi kwamba gharama za uendeshaji wa visima vya mafuta na faida ya mauzo ya mafuta hayo. haifikii bwelelee (Dezo) watakayo ipata kwa kununua toka Rusia.
Rusia anauza bei ya chini zaid sababu ya vikwazo maana hata wanao nunua mafuta ya Bwelelee ya Rusia wanahangaika jinsi ya kumlipa maana bwana mdogo hana Swift.
Rusia anauza Dezo maaana gharama za kuendesha uchumi wa mafuta unamtupa mkono.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.