Kurzweil
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 6,622
- 8,397
Hamza Bin Laden, mtoto wa kiongozi wa kundi la al-Qaeda, Osama bin Laden anayeonekana kiongozi wa wapiganaji wa kijihad, amevuliwa uraia wa Saudi Arabia, gazeti la serikali la Umm al-Qura lilisema jana.
Bin Laden alivuliwa uraia huo Februari 22 kwa amri ya kifalme, gazeti hilo la Saudi lilisema, likimkariri waziri wa mambo ya ndani halikusema sababu za uamuzi huo.
Alhamisi, Marekani ilitangaza dau la dola 1 milioni za Kimarekani kwa mtu yeyote atakayetoa taarifa za Hamza bin Laden, ambaye anaonekana kuwa kiongozi mpya wa wapiganaji hao wa imani kali.
Shambulio la Al-Qaeda la Septemba 11, 2001 nchini Marekani liliua zaidi ya watu 3,000 na kusababisha Marekani iivamie Afghanistan.
There was no immediate explanation why the royal decree stripping his citizenship, signed in November, was only becoming public now. However, the announcement comes after the U.S. government on Thursday offered a $1 million reward for information leading to his capture as part of its "Rewards for Justice" program.
Bin Laden alivuliwa uraia huo Februari 22 kwa amri ya kifalme, gazeti hilo la Saudi lilisema, likimkariri waziri wa mambo ya ndani halikusema sababu za uamuzi huo.
Alhamisi, Marekani ilitangaza dau la dola 1 milioni za Kimarekani kwa mtu yeyote atakayetoa taarifa za Hamza bin Laden, ambaye anaonekana kuwa kiongozi mpya wa wapiganaji hao wa imani kali.
Shambulio la Al-Qaeda la Septemba 11, 2001 nchini Marekani liliua zaidi ya watu 3,000 na kusababisha Marekani iivamie Afghanistan.
===========
Saudi Arabia announced Friday it had revoked the citizenship of Hamza bin Laden, the son of the late al-Qaida leader who has become an increasingly prominent figure in the terror network.There was no immediate explanation why the royal decree stripping his citizenship, signed in November, was only becoming public now. However, the announcement comes after the U.S. government on Thursday offered a $1 million reward for information leading to his capture as part of its "Rewards for Justice" program.