Saudi Arabia yamfutia uraia Mtoto wa Osama Bin Laden

dogo kubwa

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2016
Messages
427
Points
500

dogo kubwa

JF-Expert Member
Joined May 21, 2016
427 500
Al qaeda wanakiri osama bin laden ameuawa,

Obama anatangazia osama ameuliwa katika operation iliyotekelezwa na marekani,

familia ya osama wanakiri baba yao ameuliwa na marekani,

mtoto wa osama (hamza) anachaguliwa kuliongoza kundi la al qaeda kushika nafasi ya marehem baba yake,huyu mtoto nae majuzi wameripot ameuawa kwa mashambulio ya anga ya marekani,

serikali ya pakistan wanakiri wazi osama kauliwa na wanajitetea hawakuwa wanajua kuwa amejificha nchini pakistani,

wanajeshi
na intelijensia ya pakistan wanalalamika kwanini marekani imefanya operatin nchini mwao bila kuwashirikisha katika kumkamata na kumuua osama bin laden.

Osama mwenyewe(kama wafanyavyo magaidi wote) toka ithibitike ameuawa hajajitokeza wala kurekodi mkanda wa video hadharani kuwasuta marekani kuwa yuko hai mpaka leo, ilihali enzi akiwa hai zaidi ya mara nne, amekuwa akirelease mkanda wa video kutuma ujumbe mbali mbali kwa wafuasi wake na kuwazodoa marekani

mtanzania(mnyonge) yuko temeke kwa aziz ally na mbagala anasema LILE LILIKUWA PICHA LA MAREKANI KUMUUA OSAMA, OSAMA YUKO HAI, hii ndiyo Tz ya vi-wonder
 

Forum statistics

Threads 1,343,537
Members 515,077
Posts 32,787,984
Top